Skini jeans ya isha mashauzi ni nouma

Kasimamia mikono au maana naona kama kapiga sarakasi vile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitamshauri akivaa siku nyingine afunge zipu...


Ukimaindi natuma tena.
 
Jike la simbaaa nampenda sana isha nyimbo zake tamu umbile sio roho
 
Kweli wakubwa wanafaidi.
 
Taratibuni jamani siku hizi Ni mke wa mtu!
 
Sio lazima wote tuvae skin jeans jameni
 

Huyo dogo alitokea pande za Kirumba Mwanza. Alikuwa anapenda sana kusogea mitaa ya Trave tine magomeni.

Dogo anaitendea haki ile nyimbo ya msaga sumu mwanaume Mashine.
 
Ningemshauri kwa Umbo lake asivae Skin Jeans, ningemshauri pia awaambie na WASANII wengine wa Muziki wa Mwambao, kuwa wanapendeza zaidi wanapo vaa Magauni....

Mwisho ningemshauri ajaribu kumpelekea Skin jeans, Khadija Kopa (kama zawadi) AONE KITAKACHO MKUTA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…