Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Yaani maisha ya kiuanafunzi yamebadilika
Ila shule za serilaki ndio mbaya zaidi bora hizi za binafsi kidogo
Enzi zile mwanafunzi labda hatukuwa na distractions, no tv, radio yano rtd pekee
Kilichobaki ni masomo tu
Na juzi kati Mulugo ameruhusu rasmi simu kwa kutoa kauli ya kisiasa"wananchi hawakutuelewa tulipozuia simu mashuleni, tulichokataza ni mwanafunzi kutumia simu darasani lakini akitoka nje ni rukusa kutumia simu kwa mawasiliano na wazazi",