Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Yaani maisha ya kiuanafunzi yamebadilika
Ila shule za serilaki ndio mbaya zaidi bora hizi za binafsi kidogo
Enzi zile mwanafunzi labda hatukuwa na distractions, no tv, radio yano rtd pekee
Kilichobaki ni masomo tu
Vipindi vya burudani na miziki kwenye TV za Taifa ziwe baada ya saa tatu usiku. Masaa yaliyobaki viwe vipindi vya shule na dokyumentari zinazofundisha.
Watu 19 wame "LIKE" comment yako LAKINI napingana
Na hilo. Kwani Parental Guidance (PG) ipo kwa ajili gani? Weka PASSWORD kwenye hizo channels ili wasione, ingawa hata simu uwanyang'anye maana FACEBOOK itakula muda wao wa kusoma. Nina hakika 100% Hakuna TV Station itakayofanyia kazi ushauri wako kwahio DAWA ni password kwenye hizo channels.
Na juzi kati Mulugo ameruhusu rasmi simu kwa kutoa kauli ya kisiasa"wananchi hawakutuelewa tulipozuia simu mashuleni, tulichokataza ni mwanafunzi kutumia simu darasani lakini akitoka nje ni rukusa kutumia simu kwa mawasiliano na wazazi",
Hapana. Kumbuka enzi hizo tulikuwa na kipindi cha "domestic science" ambacho kilikuwa ni kipindi maalumu cha kutufundisha kazi zote za nyumbani.
Hapo juu nilikuwa naonesha kuwa badala ya kusoma sasa tukaanza kufagilishwa viwanja, madarasa, vyoo na "Janitor" kawa Mwalim!
Usishangae hili la "Mr. Janitor" kuwa Mwalimu "overnight" huko juu nimeonesha mfano wa kuli wa bandarini alipofanywa kuwa mshauri wa Nyerere Ikulu (tena huyo ndie baba'ke huyu Nape Nnauye), mwambie aje anipinge kwa hili.
Sasa wewe fikiri, hapo kuna kusoma tena?
Leo kama hatujarekebisha makosa yaliyofanywa wakati ule, basi hata tufanye nini tutaonana watoto wenye shule zenye ma "Janitor" siku zote watafanya vizuri zaidi ya zile shule ambazo ma "Janitor" ni wanafunzi wenyewe. Nafurahi kuwa hilo serikali ya kikwete imeliona na linapunguwa kwa kasi kubwa sana, siku hizi si mara nyingi kuona mtoto kabeba fagio na jembe anakwenda shule. Bado kuna kazi kubwa inabidi ifanyike lakini tunapata faraja kuona imeanza kufanyika.
Safi sana, hapo ndio ujuwe wakati huu wa Kikwete habebwi mtu, aidha wafanye vizuri au kufeli tu. Hakuna kuchekeana, viwango lazima vipande.
Hapo inafaa pasifiwe sana inaonesha kuwa zile rushwa za kupeana vyeti huko na kupasishana hata waliofeli sasa inadhibitiwa.
Samahani lakini inaonesha baba'ko alikuwa ana matatizo ya akili, anaoa mpaka Mkwe? poleni sana. Na inaonesha matatizo yake umeyarithi wewe.
Yeah naona umejaribu kutafuta ''point of escape'' kwenye post yangu ila ujumbe umekufikia!! Msimsingizie Mwl Nyerere kwa matatizo mliyojitafutia wenyewe!! Na sasa hasira zenu mmezielekezea kwa Dr Ndalichako!! Kweli mna kazi!!
Kweli anafaa kusifiwa kwa kuporomosha kiwango cha elimu!!
Angalia hapa chini:
MATOKEO YA KIDATU CHA NNE:
Mwaka JUMLA YA WATAHINIWA WALIOPATA DARAJA 0 % YA WALIOFELI
2009 ............238,581 .................65,708 .......................................26.46
2010 ........... 351,598 .............. 174,407 ........................................50.00
2011 ...........336,301...............156,085 ...................................... 46.41[ Mwanaasha Kikwete afeli kidato cha nne]
2012 ............367,750 .............. 240,903 ........................................60.10
Kwa 'trend' hii ya matokeo ya wanafunzi ktk uongozi wa binamu yako JK unategemea nini? Kama hata mwanae tu alishindwa kupenya?? Je kama angeongezewa miaka mingine 10 si itakuwa UNDEFINED DISASTOR?
Hii ni fungulia mbwa. Darasani ni kumsikiliza mwalimu. Nje ya darasa ni wakati wa kujikumbushia uliyopewa na mwalimu huku ukipumzika kiasi. Waziri atakuja kujutia kauli yake
Hata Mwamedi Mungu amlaze mahali anapostahili kwa kushiriki mauwaji na ubakaji wa vibinti mpaka vyenye miaka 9 tu, shame on him, sijui kama atanusulika na moto wa milele.Hapa ni mada ya elimu, na sisi tuliokuwepo siku hizo tunajuwa chanzo cha kushuka elimu ya Tanzania. Sababu kubwa ya kushuka elimu Tanzania ni Nyerere na siasa zake zilizokuwa hazina muono.
Nakumbuka shule niliyokuwa nikisomaa mimi wakati naanza shule kulikuwa kuna "Janitor" wa shule. Huyu kazi yake ilikuwa kuhakikisha shule iko safi wakati wote, vyoo visafi, madarasa masafi, uwanja msafi na kweli shule ilikuwa inang'aa.
Naam, baada ya Mwaka 1967 wakati huo nipo darsa la nne, tukawa tunaanz akufagilishwa sisi shule na yule "Janitor" tukaambiwa tusimwite tena "Janitor" na tumuite "Mwalim wa usafi". Tulikuwa wadogo na hatukuwa na hili wala lile, lakini leo hii nikikumbuka nasema ule ndio ulikuwa mwanzo wa kuporomoka kwa elimu.
Yule Mzee alikuwa hana alijuwalo zaidi ya kujuwa kuongea. Utendaji na Falsafa zake zote ziliharibu kila kitu mpaka kuwa ZERO. yes Sifuri.
Mwenyeezi Mungu amlaze Nyerere anapostahiki.
kumbe hata ndani ya chama chenu mnanangana? Nyerere alikuwa akiwaandaa kuwa watu wa kujitegemea, sio kumtegemea janita. Kama hamkutaka kufagia basi mngekataa na practical za laboratory. Sipati picha kipindi che Nyerere mlimchukiaje.
Hata Mwamedi Mungu amlaze mahali anapostahili kwa kushiriki mauwaji na ubakaji wa vibinti mpaka vyenye miaka 9 tu, shame on him, sijui kama atanusulika na moto wa milele.
Mkuu Matola, hiyo ndio hali halisi na cha msingi ni kuangalia nini kifanyike, tuache siasa kwenye mambo yanayogusa maendeleo ya taifa. Elimu ni nguzo muhimu sana kwenye kuendelea kwa nchi yeyote kwa karne hii.
Sintolazwa na wabakaji kama Mwamedi.Kila mtu atalazwa anapostahiki, au wewe utalazwa wapi?
kumbe hata ndani ya chama chenu mnanangana? Nyerere alikuwa akiwaandaa kuwa watu wa kujitegemea, sio kumtegemea janita. Kama hamkutaka kufagia basi mngekataa na practical za laboratory. Sipati picha kipindi che Nyerere mlimchukiaje.
Sintolazwa na wabakaji kama Mwamedi.
Naona bado hujaelewa unachokibandika, nakueleza hivi; hao waliofaullu kipindi cha Kikwete ni wengi zaidi kuliko wote walioingia Sekondari kipindi chochote cha Nyerere, Mwinyi na Mkapa tena kwa pamoja.
Opss, wale wanafunzi wa Kiislaam waliofelishwa na Ndalichako umewahesabu?
Fanya hesabu zako tena halafu uje kupinga hapa.