Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mkuu umegusa kitu kizuri. General knowledge ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Chimbuko lake ndio huko mashuleni na vyuoni. Pawepo na namna ya kipekee kabisa kuhakikisha kuwa mambo ya msingi kitaaluma na kijamii yanaainishwa kisha hayo yaelekezwe kwa wanafunzi, ikiwa ni pamoja na midahalo ya lazima kwa wanafunzi wote mashuleni ili kuwajengea confidence ya kitaaluma na si ya kiburudani kama ilivyo sasa
ndio maana mnakuwa kama ulivyo. Hamna general knowledge.
Wala siyo North Korea pia.hapa sio afghanistan
wala siyo north korea pia.
Kongosho unapenda jigijigiHe he he, basi wewe ulikuwa msongo
Mie nilikuwa nikiona wanafunzi wa special skul nataka nibadilishane nao vimiminika, angalau nibahatishe mtoto mmoja kipanga.
Ilikuwa raha jamani khah!
Ukweli ni kwamba wtt shuleni wanakwenda kujifunza lkn na majumbani nako kuna nafasi kubwa sana ya wtt wetu kujifunza. Ila wazee nasi muda hatuna. Tukisha wapeleka wtt shule za private na tuition na kulipia mahela kibao ndo tunaona yetu yashatuishia. Tunawapa sim na laptops pasi na kushughulika how they use them wkt wengi wao wanazimis use. Hizo tv ndo hazisemeki maprogram ya balaa ndo wanayoyapenda wao. Wazee tuwe na muda juu ya wtt wetu malezi na kujifunza kunaanzia nyumbani.
Mmoja aliulizwa Mtemi Mirambo alikuwa wa wapi? Akakosa jibu. Swali la nyongeza: Unamjua mtemi, mtemi ni nani? Jibu: ni wale jamaa huwa wanatembea hivi mtaani (akajaribu kutoa mfano kwa kuinua kifua na kutembea kibabe).
Mkuu umegusa kitu kizuri. General knowledge ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Chimbuko lake ndio huko mashuleni na vyuoni. Pawepo na namna ya kipekee kabisa kuhakikisha kuwa mambo ya msingi kitaaluma na kijamii yanaainishwa kisha hayo yaelekezwe kwa wanafunzi, ikiwa ni pamoja na midahalo ya lazima kwa wanafunzi wote mashuleni ili kuwajengea confidence ya kitaaluma na si ya kiburudani kama ilivyo sasa
Ni kweli hii?
Ukitizama kile kipindi unaweza zaba mtoto wa mtu kituo cha daladala hata hajakukosea.
Unahisi na yeye ni kilaza.
Nakumbuka tulivyokuwa shule, enzi hizo tupo darasa la tano tulikuwa na Mwalimu wa English, (singa singa) Tukimuita Mr. Singh. Kipindi chake ni lazima aje na gazeti la siku hiyo, siku hizo likiitwa "The Standard" na akifika tu darasani kwenye kipindi chake baada ya Good Morning Sir.,neno lake la kwanza ni "Ok, its now Standard time" na kila siku ni lazima wanafunzi watatu waanze kwa kusoma kwa sauti article moja nzima kila mmoja. Imagine General Knowledge na polishing ya Kiingereza iliyopatikana hapo.
The Standard! mwaka gani huo, niliwahi kulisikia mahali ila wakaniambia ni kabla ya Uhuru!! Niko sahihi?
Ni kweli, tena alikuwa ni mwanafunzi wa kike.
Ilikuwa ni baada ya Uhuru naongelea 1967. (Mambo yalipoanza kuharibika).