Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Ukweli ni kwamba watoto shuleni wanakwenda kujifunza lkn na majumbani nako kuna nafasi kubwa sana ya watoto wetu kujifunza. Ila wazee nasi muda hatuna.
Tukisha wapeleka watoto shule za private na tuition na kulipia mahela kibao ndo tunaona yetu yashatuishia. Tunawapa sim na laptops pasi na kushughulika how they use them wkt wengi wao wanazimis use. Hizo tv ndo hazisemeki maprogram ya balaa ndo wanayoyapenda wao.
Wazee tuwe na muda juu ya watoto wetu malezi na kujifunza kunaanzia nyumbani.