SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

Ukweli ni kwamba watoto shuleni wanakwenda kujifunza lkn na majumbani nako kuna nafasi kubwa sana ya watoto wetu kujifunza. Ila wazee nasi muda hatuna.

Tukisha wapeleka watoto shule za private na tuition na kulipia mahela kibao ndo tunaona yetu yashatuishia. Tunawapa sim na laptops pasi na kushughulika how they use them wkt wengi wao wanazimis use. Hizo tv ndo hazisemeki maprogram ya balaa ndo wanayoyapenda wao.

Wazee tuwe na muda juu ya watoto wetu malezi na kujifunza kunaanzia nyumbani.
 
Mkuu umegusa kitu kizuri. General knowledge ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Chimbuko lake ndio huko mashuleni na vyuoni. Pawepo na namna ya kipekee kabisa kuhakikisha kuwa mambo ya msingi kitaaluma na kijamii yanaainishwa kisha hayo yaelekezwe kwa wanafunzi, ikiwa ni pamoja na midahalo ya lazima kwa wanafunzi wote mashuleni ili kuwajengea confidence ya kitaaluma na si ya kiburudani kama ilivyo sasa

Mimi nakushauri wewe ukitaka watoto wako wawe na upeo
leta magazeti ya maana nyumbani
why unafikiri watoto wa kihindi wana general knowledge zaidi kuliko wa kiswahili?
wahindi karibu kila familia wanasoma Daily News nyumbani
sababu ndo Bussiness zao nyingi hata matangazo yao ya vifo na ndoa yapo humu
sasa linganisha Daily News na magazeti ya udaku tunayoyajaza majumbani?
bado ukute mna mikanda ya Kanumba tele
watoto watapata wapi general knowledge??
kuna familia hata taarifa ya habari ya saa mbili usiku hawatazami
mwendo ni mikanda ya Kanumba tu
 
ndio maana mnakuwa kama ulivyo. Hamna general knowledge.

afghanistan hakuna tv wala radio lakini illiteracy level ni mia kwa mia, we will never allow buffoons to impose the taliban ideology to anyone including you and myself.
 
Kuna graduate kibao siku hizi tokea anaanza mwaka wa kwanza mpaka anamaliza chuo hana hata kitabu kimoja nyumbani ambacho aliwahi kununua, ukija sekondari mwanafunzi mpaka anamaliza six hajawahi kununua au kusimamia hata novel moja unategemea nn hapo.
 
Nakumbuka tulivyokuwa shule, enzi hizo tupo darasa la tano tulikuwa na Mwalimu wa English, (singa singa) Tukimuita Mr. Singh. Kipindi chake ni lazima aje na gazeti la siku hiyo, siku hizo likiitwa "The Standard" na akifika tu darasani kwenye kipindi chake baada ya Good Morning Sir.,neno lake la kwanza ni "Ok, its now Standard time" na kila siku ni lazima wanafunzi watatu waanze kwa kusoma kwa sauti article moja nzima kila mmoja. Imagine General Knowledge na polishing ya Kiingereza iliyopatikana hapo.
 
He he he, basi wewe ulikuwa msongo

Mie nilikuwa nikiona wanafunzi wa special skul nataka nibadilishane nao vimiminika, angalau nibahatishe mtoto mmoja kipanga.
Ilikuwa raha jamani khah!
Kongosho unapenda jigijigi
 
Ukweli ni kwamba wtt shuleni wanakwenda kujifunza lkn na majumbani nako kuna nafasi kubwa sana ya wtt wetu kujifunza. Ila wazee nasi muda hatuna. Tukisha wapeleka wtt shule za private na tuition na kulipia mahela kibao ndo tunaona yetu yashatuishia. Tunawapa sim na laptops pasi na kushughulika how they use them wkt wengi wao wanazimis use. Hizo tv ndo hazisemeki maprogram ya balaa ndo wanayoyapenda wao. Wazee tuwe na muda juu ya wtt wetu malezi na kujifunza kunaanzia nyumbani.

wakati mwingine bora hao wa private na laptop maana walimu wao wanalipwa vyema kuwafundisha hao watoto. Kazi ni kwa hizi shule za serikali, za kata, za wazazi, na ambazo sio akademia na st. flani. Hawa kina kayumba ndio wahanga wakubwa wa kukosa maarifa hata yale yasiyomhitaji mwalimu
 
Wanafunzi wengi wa sasa hawapendi kutumia muda mwingi kujisomea,kupanua maarifa.maarifa ya kawaida hawana,hawapendi kutafiti e.g vyanzo vya maji,nishati,maliasili,geografia,science,uchumi etc.
 
Mmoja aliulizwa Mtemi Mirambo alikuwa wa wapi? Akakosa jibu. Swali la nyongeza: Unamjua mtemi, mtemi ni nani? Jibu: ni wale jamaa huwa wanatembea hivi mtaani (akajaribu kutoa mfano kwa kuinua kifua na kutembea kibabe).
 
Ni kweli hii?
 
Mkuu umegusa kitu kizuri. General knowledge ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Chimbuko lake ndio huko mashuleni na vyuoni. Pawepo na namna ya kipekee kabisa kuhakikisha kuwa mambo ya msingi kitaaluma na kijamii yanaainishwa kisha hayo yaelekezwe kwa wanafunzi, ikiwa ni pamoja na midahalo ya lazima kwa wanafunzi wote mashuleni ili kuwajengea confidence ya kitaaluma na si ya kiburudani kama ilivyo sasa

Kwenye general knowledge hata watu wazima wanaangukia hapa maana watu kujisomea huwa hawataki kabisa, uliza habari za watu mbalimbali kuhusu maisha yao binafsi hapo utapata A to Z but serious issues unaweza toa machozi
 
Dogo kila swali hajui mwisho akaulizwa habari za diamond anamjua kuliko wazazi wake,alipopewa chance wacha aimbe karibia nyimbo zote za diamond,

Ukweli tatizo linaanzia mashuleni mpaka ndani ya family zetu,tusitegemee maajabu sana kama walimu wenyewe ndio hawa waliopata dv 4 na wazazi wenyewe hawa wakisasa wakirudi home mkononi wana magazeti ya udaku na na DVD za bongo movie,tuna kazi ndefu sana
 
Ukitizama kile kipindi unaweza zaba mtoto wa mtu kituo cha daladala hata hajakukosea.
Unahisi na yeye ni kilaza.

Mimi nimeacha kutizama kabisa, naona kama naweza kuzimia. Hawa watoto wanamjua 50 cent lakini hawamjui hata rais wa awamu ya pili wa Nchi hii.

Leo hakuna hata Atlas yenye kuonyesha miji, mikoa, mataifa mbalimbali na hata hali ya hewa. Hawa mabepari mamboleo wameviondoa kabisa, inatia hasira. Hata somo la sanaa wamefuta!

Na ushahidi wa wazi hata hapa JF, graduate mzima anaandika "dhambi" - zambi, "uongo" - uhongo...nk nk. Si hilo tu hata suala dogo la kuweka 'paragraph' linawashinda. Huu ni msiba.
 
Nakumbuka tulivyokuwa shule, enzi hizo tupo darasa la tano tulikuwa na Mwalimu wa English, (singa singa) Tukimuita Mr. Singh. Kipindi chake ni lazima aje na gazeti la siku hiyo, siku hizo likiitwa "The Standard" na akifika tu darasani kwenye kipindi chake baada ya Good Morning Sir.,neno lake la kwanza ni "Ok, its now Standard time" na kila siku ni lazima wanafunzi watatu waanze kwa kusoma kwa sauti article moja nzima kila mmoja. Imagine General Knowledge na polishing ya Kiingereza iliyopatikana hapo.

The Standard! mwaka gani huo, niliwahi kulisikia mahali ila wakaniambia ni kabla ya Uhuru!! Niko sahihi?
 
Back
Top Bottom