Time Bandit
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 615
- 321
wanafunzi kutokujibu waliyofundishwa kwa maswali ya papo hapo ni kawaida
ndo maana shuleni mtu swali moja anakaa dakika kadhaa au analiacha kwanza anaanza na mepesi
ishu hapa ni general knowledge
wengi ndo aibu hapo
na hili ni aibu ya nchi nzima
wanafunzi na wazazi wao
Huyo ndiye usiseme kabisa, badala ya watoto kulala na kutuliza bongo zao, saa 9 za usiku tukiamshwa kuwahi foleni ya unga. Usinikumbushe mateso aliyotupa nchi nzima.
Mzee yule, Mungu amlaze anapostahiki.
vyakula vinachangia tutoto kukua haraka na kujiglobolaizi kwenye sosho faktazi nyingi,
hensi;
kukua mwili ....kulemaa akili
sasa wewe ulizaliwa enzi zipi? Majanga haya
Iwapo utamkoma Nyerere usidhani dini yako ni bora kuliko wengine hata wapagani imani yao ni bora zaidi pia. Koma kabisa.Dah, naona sasa unauhamishia mjadala kwenye dini! samahani sana sina mood ya kwenda huko kwa sasa na nnakuomba, koma.
Iwapo utamkoma Nyerere usidhani dini yako ni bora kuliko wengine hata wapagani imani yao ni bora zaidi pia. Koma kabisa.
Here we go, kwamba unakanusha Mwamed siyo Marehemu na anasubiri hukumu siku ya hukumu? koma kabisa ujinga wako huu peleka huko huko kwa kina Mohamed Said. Fuseki.Kinachokukasirisha nini? na mambo niliyoyaandika ndivyo yalivyokuwa wakati wa Nyerere? ni nani asiyejuwa kuwa tulikuwa tukiamshwa saa 9 za usiku kwenda kuwahi foleni ya unga?
Naona hilo limekuuma sana, labda ungewauliza wazee wako kama walikuwapo wakati huo watakueleza. Naona wewe ni mtoto mdogo sana na umejazwa ujinga kiasi hata ya ukweli yaliyokuwapo wakati wa Nyerere wewe unaona anaonewa tu.
Unaendelea kulazimisha kuufanya huu mjadala uwe wa kidini. Nakwambia tena, sipo kwenye mood ya kuingiza dini kwa sasa, kama unahamu sana ya kuongelea dini, usiharibu hii nyuzi ya watu, funguwa yako niite ntakuja. Narudia, koma.
Nyerere Mungu amlaze anapostahili.
Umesaema atlas nimekumbuka, tulikuwa tunapenda kucheza michezo wa kutafuta miji kwente atlas.
Anayeona, anachagua yeye mji mtafute.
Ilikuwa inasaidia sana kujua ramani, it was fun.
Hivi tuna ramani ya mikoa mipya kweli? Uoto wa asili sijui na ma nini nini?
Here we go, kwamba unakanusha Mwamed siyo Marehemu na anasubiri hukumu siku ya hukumu? koma kabisa ujinga wako huu peleka huko huko kwa kina Mohamed Said. Fuseki.
Mada za kijinga kama hizi tafuta mapunguwani wenzako wa Kariakoo mkae barazani ndio mjazane ujinga huu huku mkila tende na kusikiliza ngano za Mohamed Said. Jingas kabisa.Nimekwambia, hata ukikasirika huo ndio ukweli na kuna watu wazima kuliko wewe waliokuwepo wakati wa Nyerere, wanaomtetea na wasio mtetea, wanajuwa huo ndio ukweli. Na si huo tu kijana, kuna mengi sana tuliyapitia wakati wa Nyerere ambayo leo hii neema tuliyonayo tukiyawaza roho zinatuuma.
Tulikuwa wafungwa ndani ya nchi yetu. Tukipimiwa reshen ya kula kwa wiki ambayo hata wafungwa wa leo hawapimiwi hivyo. Jee, unafahamu kwamba ilifikia wakati tukipiwa sukari kilo moja kwa wiki nzima kwa kaya moja? na ilhali Nyerere huyo huyo alipokabidhiwa hii nchi Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza katika Afrika kusafirisha mazao ya chakula?
Sasa kaa ufikiri, mtoto ambae hana lishe bora hiyo elimu itamuingia kweli?
Fikiri tena, usiingize dini katika hii mada ya watu, watakuona ni mjinga. Koma.
Nyerere Mungu amlaze anapostahiki.
Mimi nilizaliwa wakati hii nchi iko chini ya Umoja wa Mataifa na ulinzi wa Waingereza.
Mada za kijinga kama hizi tafuta mapunguwani wenzako wa Kariakoo mkae barazani ndio mjazane ujinga huu huku mkila tende na kusikiliza ngano za Mohamed Said. Jingas kabisa.
Kinachokukasirisha nini? na mambo niliyoyaandika ndivyo yalivyokuwa wakati wa Nyerere? ni nani asiyejuwa kuwa tulikuwa tukiamshwa saa 9 za usiku kwenda kuwahi foleni ya unga?
Naona hilo limekuuma sana, labda ungewauliza wazee wako kama walikuwapo wakati huo watakueleza. Naona wewe ni mtoto mdogo sana na umejazwa ujinga kiasi hata ya ukweli yaliyokuwapo wakati wa Nyerere wewe unaona anaonewa tu.
Unaendelea kulazimisha kuufanya huu mjadala uwe wa kidini. Nakwambia tena, sipo kwenye mood ya kuingiza dini kwa sasa, kama unahamu sana ya kuongelea dini, usiharibu hii nyuzi ya watu, funguwa yako niite ntakuja. Narudia, koma.
Nyerere Mungu amlaze anapostahili.
Matokeo ya vyuo vya ualimu yatoka, watahiniwa washindwa vibaya mitihani yao chini ilioandaliwa na serikali yenye mafanikio ya rais Jakaya Kikwete!!
Mimi lawama zangu naanza kuzitupia media, toka saa sita usiku mpaka saa sita usiku wa siku nyingine vipindi vinavyowekwa ni miziki na filamu za kifilipino. Yanayooneshwa humo sidhani kama yana mchango mzuri kwenye ukuaji na elimu ya vijana wetu.
Tujiulize kwanza ni vipindi vingapi vyenye kumjenga kijana kielimu na kimaadili vinaoneshwa na media zetu. Matokeo yake wanakufa wahadhiri, madaktari bingwa, wanasayansi wenye kuletea taifa hili sifa, wanasheria na wanasiasa mahiri kama Kawawa hakuna vipindi maalumu vya maombolezo yao.
Lakini tumeona wamekufa wasanii(Kanumba, na huyu aliyekuwa anasifia mikasi, majani na mitungi sijui naitwa Ngwea) vinawekwa vipindi maalumu kwenye media kuomboleza. Ina maana Ngwea alikuwa anaitangaza nchi yetu vizuri nje kuliko Marehemu Kawawa, Dokta F. MASSAU,Wahadhiri wetu vyuo vikuu, Majaji, Wabunge na Mawaziri wetu.
Juzi kati wanajeshi wetu wamefariki huko Sudani wakitekeleza majukumu ya kitaifa, wanaojua wanieleze hapa ni TV, radio ilirusha live shughuli nzima toka miili ilipotua uwanja wa ndege mpaka ilipoagwa pale upanga na je kulikuwa na kipindi gani maalumu cha kueleza michango na japo historia zao tu kwa kifupi kama mashujaa wetu, hakuna!!!!!!!!!
Baba yangu mzazi, Mzee Mikidadi, aliharibikiwa baada tu ya KUSILIMU akiwa mtu mzima (mwaka 1970)!! Kitu cha kwanza alichofanya ni kuanza kuoa/kuongeza wanawake wengine kwa kasi ya ajabu! Kufumba na kufumbua ana wake watatu! Kitu cha pili na cha ajabu alichofanya ni kutaka kutuzuia kusoma elimu dunia bali tujikite kusoma MADRASA!! Hapo ndiyo MTAFARUKU ulipoanzia katika familia yetu na hatimaye mama yangu akafukuzwa kwa TALAKA TATU,na watoto wote, tulikuwa 10 tukafukuzwa na mama!! Baba yangu akaoa mkwe mwingine ku-cover nafasi iliyoachwa na mama!! Sasa basi kilichomtokea baba na watoto wake wengine aliowazaa kwa wake zake wengine hakuna aliyevuka darasa la saba!! Lakini wakiwa wamejaza JUZUU kibao vichwani mwao na ROHO MBAYA kama ya kwako!!
Thanks to GOD and Mwl JK Nyerere, mama yetu, akiwa mwanakijiji tu asiye na chochote alifanikiwa kutusomesha watoto wote and now I AM PROUD as both a CIVIL ENGINEER and an ACCOUTANT! MY STEP SISTERS wana roho mbaya kama wewe! Walichezea nafasi za bure za kusoma enzi za Mwalimu kwa kudanganyana kama mnavyofanya hadi leo!! Kipindi cha utawala wa JK elimu imeshuka sana lakini bado mnalia na Nyerere! Shame on You!!!
Hapa ni mada ya elimu, na sisi tuliokuwepo siku hizo tunajuwa chanzo cha kushuka elimu ya Tanzania. Sababu kubwa ya kushuka elimu Tanzania ni Nyerere na siasa zake zilizokuwa hazina muono.
Nakumbuka shule niliyokuwa nikisomaa mimi wakati naanza shule kulikuwa kuna "Janitor" wa shule. Huyu kazi yake ilikuwa kuhakikisha shule iko safi wakati wote, vyoo visafi, madarasa masafi, uwanja msafi na kweli shule ilikuwa inang'aa.
Naam, baada ya Mwaka 1967 wakati huo nipo darsa la nne, tukawa tunaanz akufagilishwa sisi shule na yule "Janitor" tukaambiwa tusimwite tena "Janitor" na tumuite "Mwalim wa usafi". Tulikuwa wadogo na hatukuwa na hili wala lile, lakini leo hii nikikumbuka nasema ule ndio ulikuwa mwanzo wa kuporomoka kwa elimu.
Yule Mzee alikuwa hana alijuwalo zaidi ya kujuwa kuongea. Utendaji na Falsafa zake zote ziliharibu kila kitu mpaka kuwa ZERO. yes Sifuri.
Mwenyeezi Mungu amlaze Nyerere anapostahiki.
Nadhani kuanza maswali unayoyaweza(mepesi)ni starategy ya kuscore marks uweze kutoka,cuz kuna swala la muda pia kwenye mtihani,sasa haiyumkiniki ukang'ang'ania swali ambalo linahitaji muda wa kufikiri zaidi wakati yako maswali ambayo kwako ni kutiririka tu mwanzo mwisho na sometimes yana marks sawa na maswali yanayohitaji muda wa kufikiri,unatakiwa kuwa mjanja wa mtihani kwa kuwa elimu yetu ndio iko hivyo,tunasoma ili tufaulu mitihani!wanafunzi kutokujibu waliyofundishwa kwa maswali ya papo hapo ni kawaida
ndo maana shuleni mtu swali moja anakaa dakika kadhaa au analiacha kwanza anaanza na mepesi
ishu hapa ni general knowledge
wengi ndo aibu hapo
na hili ni aibu ya nchi nzima
wanafunzi na wazazi wao
Inawezekana kwa kipengele hiki ilikuwa mnapata practical orientation ya namna ya kufanya usafi ili mkirudi nyumbani muwe mna-support kazi ndogo ndogo za nyumbani