SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

Tuko pamoja mkuu, nilishawahi kusema bila kuangalia upya marupurupu ya wanasiasa, tutakumbana na majanga mengi sana mbele ya safari. Mojawapo ikiwemo kila mtu anataka kuwa mwanasiasa licha ya kukosa vigezo na uwezo wa kuhudumia wananchi ila maslahi binafsi ndio yanamsukuma mtu.

Pili wanasiasa watajitahidi kukuridhisha, namaanisha watawaambia mnachopenda kusikia, na kwa mwendo huo hatuwezi kupata ufumbuzi wa kudumu wa changamoto zinazotukabili.

Ubarikiwe
Ni kweli mdau maana ukimwangalia mtu unaona kabisa amefuata posho na huwa wananikera wale wabunge ambao kwenye mafanikio wanataja kwamba ametumia mshahara wake kusomesha wanafunzi. Hapo ukiangalia kwa jicho la kawaida utaona kama mbunge ni mtu mwema sana, kumbe anachofanya ni kuwapumbaza wananchi ili waendelee kumchagua, siku zote wananchi wengi ni wavivu pindi unapojifanya una moyo wa kujitolea una nafasi ya kuchaguliwa. Wakati mbunge au kiongozi wa kuchaguliwa aende zaidi ya pale kwa kuwaunganisha wananchi wake wachangie yaani kama yeye amesomesha wanafunzi 300 basi na wananchi nao wawe wamechangia na kupata wanafunzi zaidi ya hao 300. Kama watu wa kawaida tu wanachangisha watu na kwenda kutoa misaada iweje wabunge washindwe
 
Safi sana, hapo ndio ujuwe wakati huu wa Kikwete habebwi mtu, aidha wafanye vizuri au kufeli tu. Hakuna kuchekeana, viwango lazima vipande.

Hapo inafaa pasifiwe sana inaonesha kuwa zile rushwa za kupeana vyeti huko na kupasishana hata waliofeli sasa inadhibitiwa.
Du, ama kweli wewe una uwezo mdogo wa kufikiri! Umesahau kwamba serikali ya JK haijachakachua matokeo ya kidato cha IV ya mwaka 2012?
 
Kweli anafaa kusifiwa kwa kuporomosha kiwango cha elimu!!
Angalia hapa chini:
MATOKEO YA KIDATU CHA NNE:
Mwaka JUMLA YA WATAHINIWA WALIOPATA DARAJA 0 % YA WALIOFELI
2009 ............238,581 .................65,708 .......................................26.46

2010 ........... 351,598 .............. 174,407 ........................................50.00

2011 ...........336,301...............156,085 ...................................... 46.41[ Mwanaasha Kikwete afeli kidato cha nne]

2012 ............367,750 .............. 240,903 ........................................60.10

Kwa 'trend' hii ya matokeo ya wanafunzi ktk uongozi wa binamu yako JK unategemea nini? Kama hata mwanae tu alishindwa kupenya?? Je kama angeongezewa miaka mingine 10 si itakuwa UNDEFINED DISASTOR?

Ni kweli hapa JK kajitahidi sana, tumpongeze kwa hilo FaizaFoxy. JK oyeeeeeeeee!!!!!1
 
Mbona mkuu wa kaya ambaye ni Dr(ya kupewa) aliulizwa na mtangazaji kwanini nchi yako ni maskini? Bila ya aibu akasema "Hata mimi Sijui" hahah,,kikwet.e ni janga la taifa na hawa wajukuu wake wa Skonga.

FaizaFoxy, Like father like daughter! Mtoto wa rais tena PHD holder anafeli tena peke yake? How funny?
 
Safi sana, hapo ndio ujuwe wakati huu wa Kikwete habebwi mtu, aidha wafanye vizuri au kufeli tu. Hakuna kuchekeana, viwango lazima vipande.

Hapo inafaa pasifiwe sana inaonesha kuwa zile rushwa za kupeana vyeti huko na kupasishana hata waliofeli sasa inadhibitiwa.

muda mwingine uwe una tunza kumbukumbu. hivi wewe si ndio umesema kuna kundi linafelishwa? ina maana ujui unacho kinena? kumbe unajua fika hakuna anaye bebwa na ni wazi unajua haki inatendeka na hakuna anaye bebwa sasa mambo ya kusema kundi fulani wanafelishwa huwa unaropoka kutoka wapi? kwanini unaropoka?.

Sasa nimegundua kwanini ulisingizia kuwa uliporwa jina lako na kupewa mwingine.ni wazi ulifeli kwa kutozingatia masomo kama vijana wa siku hizi.

FaizaFoxy punguza uzushi ili iweze kutunza kumbukumbu.
nimegundua pia una Amnesia.

NAJIA YA MUONGO NI FUPI.
 
Last edited by a moderator:

Nakuuliza wewe ina maana hujuwi kuwa Waislaam walifelishwa halafu walipostuka matokeao ikabidi yabadilishwe?

Nakuuliza hujui?
 
Nakumbuka tulivyokuwa shule, enzi hizo tupo darasa la tano tulikuwa na Mwalimu wa English, (singa singa) Tukimuita Mr. Singh. Kipindi chake ni lazima aje na gazeti la siku hiyo, siku hizo likiitwa "The Standard" na akifika tu darasani kwenye kipindi chake baada ya Good Morning Sir.,neno lake la kwanza ni "Ok, its now Standard time" na kila siku ni lazima wanafunzi watatu waanze kwa kusoma kwa sauti article moja nzima kila mmoja. Imagine General Knowledge na polishing ya Kiingereza iliyopatikana hapo.

walimu wa siku hizi wamajua kupokea mshahara hawana muda na hayo ndio maana wengine wana lahumu wanafunzi tuu bila kujiuliza wana aina gani ya walimu na wanatumia njia gani kufundisha. That was so nyc
 
Nakuuliza wewe ina maana hujuwi kuwa Waislaam walifelishwa halafu walipostuka matokeao ikabidi yabadilishwe?

Nakuuliza hujui?

hahaha wewe ni muongo. unaposema hakuna kubebwa una maanisha nini? na umesifia kipindi hiki kuwa kama amefeli au ku faulu hajabebwa,papo hapo unasema kundi tajwa lilifelishwa mbona uleweki? ina maana hakuna walio faulu? yani watu wafeli alaf usingizie watu. uzuri wa hii awamu ni upi kwenye elimu kama jk na shukuru wana ruhusu watu wafelishwe?

alaf wafelishwe kwa faida ya nani? mbona mimi wanao nizunguka kutoka kundi hilo wamefaulu na wanasoma kwa bidii?

washauri watoto wasome kwa bidii.

kama ni kubadilika kwa marks kwenye hilo somo ni kutokana na kukosewa kuingizwa vyema na mimakosa ya kibinadamu.

Washauri watoto wasome kila mtu anapewa anacho stahili.
 
Na hizo marks ziliposahihishwa waliofeli wakaendelea kufeli?

Halafu jiulize, hizo marks hayo "makosa ya Kibinaadam" kwa Waislaam tu?
 
muda mwingine uwe una tunza kumbukumbu. hivi wewe si ndio umesema kuna kundi linafelishwa? ina maana ujui unacho kinena? kumbe unajua fika hakuna anaye bebwa na ni wazi unajua haki inatendeka na hakuna anaye bebwa sasa mambo ya kusema kundi fulani wanafelishwa huwa unaropoka kutoka wapi? kwanini unaropoka?.

Sasa nimegundua kwanini ulisingizia kuwa uliporwa jina lako na kupewa mwingine.ni wazi ulifeli kwa kutozingatia masomo kama vijana wa siku hizi.

FaizaFoxy punguza uzushi ili iweze kutunza kumbukumbu.
nimegundua pia una Amnesia.

NAJIA YA MUONGO NI FUPI.

Mimi hapa ni victim wa kufelishwa wakati wa Nyerere. Unataka kusema nini wewe?

Wangapi wamenyimwa fursa kwa kuwa ni Kina Athumani na si kina Joni.

Juzi, wewe mwenyewe umekiri ati "makosa ya kibinaadam" nimekuuliza makosa ya kibinaadam kwa waislaam tu? umeshindwa kujibu hilo unakuja na hadithi eti "wacha uzushi" eti "kumbukumbu", Kumbukumbu? my behind!

Unajuwa exactly ninachokisema na haikuwa ni isolated issue na hiyo ilipangwa systematically.

Leo hii tunaona mabadiliko kwenye elimu, mabadiliko ya hali ya juu kuliko unavyofikiria, at least tunaona kumbe aaah na Waislaam wanaweza! hivi hawa waliokuwa mazumbukuku na wasio na akili na wao kumbe wanaweza? na ho waliokuwa wanasemwa wana akili, eti kwa dini zao tu, na wao kumbe wapo wanaofeli.

Leo fursa sawa kwa wote ya kufika sekondari na juu ya sekondari, watu kuona hivyo wakaanza hila za "marks" halafu unataka kuja hapa na kusema eti makosa ya kibinaadam? Nimekuuliza na narudia tena, hayo makosa ya kibinaadam yalikuwa kwa Waislaam tu?

Ni nini usichokielewa?
 
hiyo ilitokea kwa wale wanao soma somo hilo na si kwa kundi lote maana kuna wasio soma hilo somo.
Na hakuna sababu ya mtu kufelishwa na ni kwa faida ya nani?
wewe FaizaFoxy unasumbuliwa na kufeli kwako sababu hukusoma kwa bidii kama wenzako maana ni wazi kama kufelishwa wangefanya kwa kundi lote na si kwa mtu mmoja na ili iweje?na wewe ni nani mpaka ufelishwe?acha kusingizia watu uzembe ulio ufanya.
Na swala lingine la kusema watu wanafelishwa kwa majina yao ni uongo kabisa maana kuna watu wengi wamefaulu na walifaulu kwa bidii zao na wana majina tajwa, unataka kusema shukuru na jk wanaangalia watu wanafelishwa kisa majina yao? je na hiyo mitihani inapangwa na kusahishwa na kundi mmoja na matokeo yanapangwa na kundi mmoja?
Tusitetee uzembe kwa kimvuli cha majina yetu bali tuwaimize wanafunzi wasome.

Na unajaribu kuonesha kundi tajwa hakuna wavivu na wazembe kusoma bali wanaofeli wanafelishwa. hizi fikra ni dhaifu sana.

Na ikumbukwe si kundi mmoja ndilo linafeli bali makundi yote.

tusitetee uzembe bali tuhimize watu wasome kwa bidii.
 
umenena vema mkuu
 
Unauliza kuhusu kundi lote? ina maana hujuwi kuhusu 87/13? pole sana kama hilo hulijui. Nyie ndio katika wale "watende wao, wakitenda wenzao huwa mwao".

Hayo makundi yote yanayofeli tunayaona leo kwa kuwa kuna fursa kwa wote. Wakati fursa zilipokuwa upande mmoja tu, kundi moja lilikuwa halijuwi kufeli ni nini.

Leo Mwenyeezi Mungu katuletea ahueni, tunakwenda sambasamba. Na vilaza tunawaona.
 
Watashindwa maswali yote lakini ikifika muda wa kuchagua nyimbo sasa ndo utawapenda jinsi wanavyo pronounce majina ya kina Lihanna,Beyonce,Wiz Khalifa nk kama wamezaliwa U.S.A na sio kwenye hospitali zetu hizhiz!
 
Vipindi vya burudani na miziki kwenye TV za Taifa ziwe baada ya saa tatu usiku. Masaa yaliyobaki viwe vipindi vya shule na dokyumentari zinazofundisha.

Ni wazo zuri lakini ilipaswa TBCCM ndio ifanye unavyotaka.Kwa private TV itakua hailipi coz zinajiendesha kwa kutegemea wadhamini wa vipindi ambao wengi wanapenda vipindi vya mchana coz watu wanakua hawajalala.
 
na mimi hicho kipindi nimekiona kwa kweli vijana wanasikitisha sana..tena sana.
 
Ni wazo zuri lakini ilipaswa TBCCM ndio ifanye unavyotaka.Kwa private TV itakua hailipi coz zinajiendesha kwa kutegemea wadhamini wa vipindi ambao wengi wanapenda vipindi vya mchana coz watu wanakua hawajalala.

Ni ubunifu tu wa hizo channels ndio tatizo na kuwela mbele kipato kulio maslahi ya mtoto wa Kitanzania, kuna documentaries na vipindi vya kufundisha vingi tu ambavyo sponsors wasingepiga chenga kabisa.
 
Mimi hapa ni victim wa kufelishwa wakati wa Nyerere. Unataka kusema nini wewe?

Wangapi wamenyimwa fursa kwa kuwa ni Kina Athumani na si kina Joni.

Juzi, wewe mwenyewe umekiri ati "makosa ya kibinaadam" nimekuuliza makosa ya kibinaadam kwa waislaam tu? umeshindwa kujibu hilo unakuja na hadithi eti "wacha uzushi" eti "kumbukumbu", Kumbukumbu? my behind!

Unajuwa exactly ninachokisema na haikuwa ni isolated issue na hiyo ilipangwa systematically.

Leo hii tunaona mabadiliko kwenye elimu, mabadiliko ya hali ya juu kuliko unavyofikiria, at least tunaona kumbe aaah na Waislaam wanaweza! hivi hawa waliokuwa mazumbukuku na wasio na akili na wao kumbe wanaweza? na ho waliokuwa wanasemwa wana akili, eti kwa dini zao tu, na wao kumbe wapo wanaofeli.

Leo fursa sawa kwa wote ya kufika sekondari na juu ya sekondari, watu kuona hivyo wakaanza hila za "marks" halafu unataka kuja hapa na kusema eti makosa ya kibinaadam? Nimekuuliza na narudia tena, hayo makosa ya kibinaadam yalikuwa kwa Waislaam tu?

Ni nini usichokielewa?

Wewe acha kutudanganya kuwa ulifelishwa sema ulikuwa kilaza kama Mwanaasha Kikwete na ndiyo maana ni mtetezi wake mkuu! As I told you before, baba yangu ni muislam na mimi nilifaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa kutumia jina la kiisilam so was many other musilim pupils who were serous with education! Wewe ulijikita kwnenye kusoma yale maandishi ya kutoka kushoto kwenda kulia na Dr Ndalichako wa wakati huo akakomaa na wewe!
 
Hahahah....but before you do that remember;

No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria

back to Topic:

Nakumbuka nikiwa sekondari ya Mawezi, Moshi.
Likizo tulikuwa tunakutana na washikaji tuliosoma wote primary halafu wakapangiwa special schools Kibaha, Mzumbe, na Ilboru.
Na wale wa seminary ambapo wanapewa notes na test kila wiki…jamani kuna watu wana raha.
Basi hawa woote tunakutana mtaani tunafundishana weee na kubadilishana knowledge mpaka likizo inaisha…hiyo ndo ilikuwa tuition yetu. Ndiyo si tulisoma wote primary kwahiyo bado ni marafiki.
Na likizo wanakuja nyumbani. Wana interact na sie wa shule za kata tunabadilishana mawazo.
Matokeo form four: Division one (leo hii ningekuwa top ten ya watahiniwa wa CSEE 2012)

A level nikapangiwa Same sekondari. Huko tukawa tunatoroka na kuja kupiga kitabu Moshi sekondari (Old Moshi Sec) wenyewe waliamua kujiita Gold Moshi…dem dayz!
Likizo tena tunakutana na washkaji waliopangiwa Special schools hizo tunabadilishana utirial ma test pepa manini.
Matokeo form six: Division one nzuri tu ya kunipa grades za kusoma Electronic Science & Communication chuo.

Mtazamo wangu:
Ile dhana ya special schools ilisaidia sana kuboresha elimu na kuongeza morali wa wanafunzi kusoma.

  1. Sasa hivi unakuta mwanafunzi anasoma hapo hapo na wale wale aliosoma nao primary hawapati challenges za nje hata kidogo.
  2. Waliofuta special schools hawakukumbuka ule usemi wa, “the world is a book and those who don’t travel read only a book” otherwise walidhani kina Nyerere pamoja na umaskini tuliokuwa nao bado walifanya hivyo. Walipeleka hadi watu kusoma nje kwanini???
My call:
Kawambwa & Co. rudisheni special schools kwa maana ile ile ya special schools….

Hata wakirudisha hamna kitu..si spesho wala nini..mambo ni yale yale tu hamna jipya!!
 
Back
Top Bottom