Skudu: Sikuchagua jezi namba 6

Skudu: Sikuchagua jezi namba 6

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
“Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11.

Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwa kuwa ni heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” – Skudu Makudubela, Mchezaji wa Yanga
45B297DA-8A81-4AD4-A4A8-0AA7E0DEF1BD.jpeg
 
.
“Rais wa Yanga alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa Jezi namba sita (6) nikamwambia Hapana kwa saabu nimekuwa nikipendelae kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwakuwa ni Heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” amesema Skudu.

Hii ni baada ya Namba 6 wa kweli kuibwa
 
no sio kweli hajasema amelazimishwa

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
.
“Rais wa Yanga alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa Jezi namba sita (6) nikamwambia Hapana kwa saabu nimekuwa nikipendelae kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwakuwa ni Heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” amesema Skudu.

Hii ni baada ya Namba 6 wa kweli kuibwa

Methali 17:28​

Hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana hekima; akifunga mdomo wake huonekana kuwa mwenye akili.
 
What is the point?
Kwamba huyu sio yule number 6 mliokua mkimuimba na kumpamba mno kupitia msemaji wenu Ally Komwe, bali huyu mmekuja kumlazimisha baada ya huyo wa awali kuchukuliwa na Simba S. C
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yanga ilitaka kumsajili ngoma lakini ikaghairisha mpango huo baada ya kutonywa za ndaani kuhusu fitness ya mchezaji huyo na pia kocha Gamondi alimkataa mchezaji huyo kuwa hawezi kuendana na mifumo yake, ukweli ni kuwa wakala wa ngoma ambae pia ni wakala wa Djuma na Bangala alikuwa na mawasiliano kati ya yanga na simba baada ya kuwapelekea taarifa za mchezaji huyo za kuvunja mkataba na Al hilal, priority ya ngoma ilikuwa ni kwenda yanga akaungane na wenzie ila yanga wakaghairi kufanya dili hilo, sasa makolo wakakubali kufanya biashara wameuziwa mbuzi kwenye gunia wanajisifu eti wametuibia [emoji1787][emoji1787]
 
Jipeni tu moyo
 
Back
Top Bottom