Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya giza sio leo huwezi kuiba mchezaji airport tusidanganyane hapaIlikuwa haijawahi kufanyika? Hizi timu umeanza kuzifuatilia leo?
Uwe Unafatilia Mambo Dunia Hainaga Siri.Jipeni tu moyo
Alhaj Aden Ismail Rage.The point is ,uto walijigamba kuwa kuna mchezaji anavaa jezi nambari sita usajili wake utatikisa dunia,huyo mchezaji akaporwa kibabe na mikia,sasa uto wakalazimisha huyu babu awe ndio namba sita