Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
no sio kweli hajasema amelazimishwa.
“Rais wa Yanga alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa Jezi namba sita (6) nikamwambia Hapana kwa saabu nimekuwa nikipendelae kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwakuwa ni Heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” amesema Skudu.
Hii ni baada ya Namba 6 wa kweli kuibwa
.
“Rais wa Yanga alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa Jezi namba sita (6) nikamwambia Hapana kwa saabu nimekuwa nikipendelae kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwakuwa ni Heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” amesema Skudu.
Hii ni baada ya Namba 6 wa kweli kuibwa
The point is ,uto walijigamba kuwa kuna mchezaji anavaa jezi nambari sita usajili wake utatikisa dunia,huyo mchezaji akaporwa kibabe na mikia,sasa uto wakalazimisha huyu babu awe ndio namba sitaWhat is the point?
Mabingwa kwa miaka mitano ijayo mfululizo🏃🏃🏃🏃🏃mabingwa
Mchezaji ana ibiwa kama parcel kuna mchezaji hapo?confirmed & dusted:
ngoma aliibwa airport na wahuni wa lunyasi.
Kwamba huyu sio yule number 6 mliokua mkimuimba na kumpamba mno kupitia msemaji wenu Ally Komwe, bali huyu mmekuja kumlazimisha baada ya huyo wa awali kuchukuliwa na Simba S. CWhat is the point?
Jipeni tu moyoYanga ilitaka kumsajili ngoma lakini ikaghairisha mpango huo baada ya kutonywa za ndaani kuhusu fitness ya mchezaji huyo na pia kocha Gamondi alimkataa mchezaji huyo kuwa hawezi kuendana na mifumo yake, ukweli ni kuwa wakala wa ngoma ambae pia ni wakala wa Djuma na Bangala alikuwa na mawasiliano kati ya yanga na simba baada ya kuwapelekea taarifa za mchezaji huyo za kuvunja mkataba na Al hilal, priority ya ngoma ilikuwa ni kwenda yanga akaungane na wenzie ila yanga wakaghairi kufanya dili hilo, sasa makolo wakakubali kufanya biashara wameuziwa mbuzi kwenye gunia wanajisifu eti wametuibia [emoji1787][emoji1787]
Ilikuwa haijawahi kufanyika? Hizi timu umeanza kuzifuatilia leo?Mchezaji ana ibiwa kama parcel kuna mchezaji hapo?