Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Wewe ndio bure msomi usiyejua hata kufanya utafiti kabla yakuja na hoja. Takataka kabisaSasa hapa Uanasheria na UDSM zimekujaje? Bure kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio bure msomi usiyejua hata kufanya utafiti kabla yakuja na hoja. Takataka kabisaSasa hapa Uanasheria na UDSM zimekujaje? Bure kabisa!
Wewe na umbumbumbu msha funga ndoaH A N A N A F A S I W A LI M S A J I L I KU C H E Z A M A PI A N O T U.
HAKUNA MCHEZAJI MULE.
G A L A S A
Mechi ya juzi kati ya Yanga na Namungo, alikuwepo pale Azam complex kwenye list ya waliokuwa benchi. Alifanya mazoezi, ila hakuingiaKwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?
Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Petro E. MselewaSkudu aliumia kwenye mechi dhidi ya Azam, na ilikuwa ndio mechi yake ya pili kucheza baada ya kucheza dhidi ya Kaizer chief. Baada ya kuumia, akawa anauguza jeraha lake huku timu ya Yanga ikiendelea na michezo yake ya ngao ya hisani, ligi na klabu bingwa. Skudu anakuja kurejea kikosini tayari, kocha ana mwanga kuhusu first eleven yake maana wakati Skudu hayupo kocha alikuwa anaendelea na program zake za kupata kikosi chake cha kwanza na pia utimamu wake badala ya kutoka majeraha anajua kocha.
Kwahiyo tegemea kumuona akichezeshwa kulingana na uhitaji wa kocha kwenye mechi husika, sio Skudu tu kuna wachezaji wengi tu wazuri ambao awaonekani uwanjani mfano Sureboy, n k lakini watapangwa kulingana na kocha anataka nini na kaona nini kwa mpinzani. Mfano juzi kocha kamsoma Namungo kaona kuna uhitaji wa Moloko na Mudathir hivyo kawaingiza na wakaleta impact na goli likapatikana. Kwahiyo kila mchezaji atapangwa kulingana na uhitaji wa kocha katika mechi husika.
skudu aliumizwa goti vibaya,katibiwa na akaanza kufanya mazoezi kwanza ya peke yake,baadae akajumuishwa na wenzie na sasa anakaa benchi,itafika muda wakevataanzavkupewa game time na utamuonaKwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?
Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Yaani kwenye mechi iliyopita mchezaji alikuwepo sub! Halafu unarudia kuuliza tena swali ambalo majibu yake yako wazi kabisa!!!Hiyo ni obvious kwamba ili aonekane ni hadi kocha ampe nafasi ya kucheza. Swali lake ni kwamba yuko wapi?
Mbona match ya juzi na Namungo alikuwa kwenye orodha ya wachezaji wa akiba,una kingine?Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?
Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Hawa ndio wanaongaga kufauli ile mitihani ya Bodi halafu wenye uwezo wanafelishwa.Kwani mechi ya juzi hukumuona kwenye kikosi cha akiba?, Hawa ndio wanajiita wanasheria kutoka udsm hawajui hata kufanya tafiti. Pumbavu kabisa Waheed.
Bro kumbe SOMETIME huwa unaongea pumba, nmeshagaa comment yako hiiH A N A N A F A S I W A LI M S A J I L I KU C H E Z A M A PI A N O T U.
HAKUNA MCHEZAJI MULE.
G A L A S A
Duu soma uzi hapo juu wamekujibu vizuriHiyo ni obvious kwamba ili aonekane ni hadi kocha ampe nafasi ya kucheza. Swali lake ni kwamba yuko wapi?
mbumbumbu mmechoka pila heka heka lenu mnataka kumuona SkuduTunahitaji kuona anavyouchezea mpira
Fred je?Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?
Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Halafu wewe umeuliza TU,lkn yeye kafyatuka.Sasa hapa Uanasheria na UDSM zimekujaje? Bure kabisa!
Nimewaona azam tv km wapo mbele vile!Yuko hapa Don Bosco na Azizi wanaangalia game ya Dar City na JKt