Skudu yu wapi?

Skudu yu wapi?

Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?

Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Mechi ya juzi kati ya Yanga na Namungo, alikuwepo pale Azam complex kwenye list ya waliokuwa benchi. Alifanya mazoezi, ila hakuingia
 
Skudu aliumia kwenye mechi dhidi ya Azam, na ilikuwa ndio mechi yake ya pili kucheza baada ya kucheza dhidi ya Kaizer chief. Baada ya kuumia, akawa anauguza jeraha lake huku timu ya Yanga ikiendelea na michezo yake ya ngao ya hisani, ligi na klabu bingwa. Skudu anakuja kurejea kikosini tayari, kocha ana mwanga kuhusu first eleven yake maana wakati Skudu hayupo kocha alikuwa anaendelea na program zake za kupata kikosi chake cha kwanza na pia utimamu wake badala ya kutoka majeraha anajua kocha.

Kwahiyo tegemea kumuona akichezeshwa kulingana na uhitaji wa kocha kwenye mechi husika, sio Skudu tu kuna wachezaji wengi tu wazuri ambao awaonekani uwanjani mfano Sureboy, n k lakini watapangwa kulingana na kocha anataka nini na kaona nini kwa mpinzani. Mfano juzi kocha kamsoma Namungo kaona kuna uhitaji wa Moloko na Mudathir hivyo kawaingiza na wakaleta impact na goli likapatikana. Kwahiyo kila mchezaji atapangwa kulingana na uhitaji wa kocha katika mechi husika.
Petro E. Mselewa
Umejibiwa vizuri huku, achana na majibu ya watoto njiti wana shobo sana
 
Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?

Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
skudu aliumizwa goti vibaya,katibiwa na akaanza kufanya mazoezi kwanza ya peke yake,baadae akajumuishwa na wenzie na sasa anakaa benchi,itafika muda wakevataanzavkupewa game time na utamuona
 
Hiyo ni obvious kwamba ili aonekane ni hadi kocha ampe nafasi ya kucheza. Swali lake ni kwamba yuko wapi?
Yaani kwenye mechi iliyopita mchezaji alikuwepo sub! Halafu unarudia kuuliza tena swali ambalo majibu yake yako wazi kabisa!!!
 
Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?

Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Mbona match ya juzi na Namungo alikuwa kwenye orodha ya wachezaji wa akiba,una kingine?
 
Kwani mechi ya juzi hukumuona kwenye kikosi cha akiba?, Hawa ndio wanajiita wanasheria kutoka udsm hawajui hata kufanya tafiti. Pumbavu kabisa Waheed.
Hawa ndio wanaongaga kufauli ile mitihani ya Bodi halafu wenye uwezo wanafelishwa.
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Wakimaliza waeleze yule mchezaji wa Newcastle yuko wapi?
 
Kwa muda mrefu sasa tangu apate majeraha kwenye mchezo na Azam, hachezi. Haonekani hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba. Hatajwi wakati wa mchezo. Bwana Makudubela yuko wapi?

Mnaofahamu hebu nisaidieni kunifahamisha
Fred je?
Kwenye mechi dhidi ya Namungo Skudu alikaa benchi (yaani alikuwemo kwenye orodha ya subs)
 
mashabiki wa simba katika ubora wa akali zao, ulitaka acheze kwasababu mashabiki wanataka? Yanga wanaheshimu maamuzi ya kocha hivyo atapangwa kulingana na mahitaji ya timu (Yanga mtu yeyote anaazia bench). Hutakuja kusikia Yanga wakilalamika kuwa kwanini mtu fulani hapangwi au kaanzia benchi

Shida chama/ aanzie benji pale msimbazi ndio utajua hujui
 
Back
Top Bottom