Miss you[emoji46][emoji46][emoji46]
Ni maswali ya msingi mkuuYani kumbe ndio maswali yako haya.
Siku ntakufanyia interview lile jukwaa la chini1630
DOGO MWENYEWE [emoji35] [emoji35] [emoji35] .dogo huo ni mtazamno wake chuma cha mjerumani na sio mtanzamo wa MBITIYAZA ! Usipende kung'ang'aniza hisia na mahaba yako kwa kila mtu !
Naomba niletee pepsi[emoji23]Bado dk1 tu...niko hapa na popcorn zanguView attachment 587516
This one nitafuatilia maana namkubali sana huyu bibie, ila muosha rungu uulize maswali yenye mashiko tafadhali.
Nalendwa
Heaven Sent
Neybright mkuje.
Hapana sijaolewa bado
Hahaaaaaaa kule sawa maana hakuna nyomi kama huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku ntakufanyia interview lile jukwaa la chini
Hao nilisha wanyanyulia mikonpo; hivi interview imeshaanza?namjua vyema kabisa nilimshauri ila akakaza nikaona sio vyema kubishana nae saaana nikabadilisha nikaedit...si unajua KE walivyo ving'anganizi??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mwifwa kalambwa ban, sijui tatizo nini
Samahan mkuu, Wewe ni jinsia Salma??? [emoji85] [emoji85]Hapana sijaolewa bado
Mbona pm yangu haujibu?Naona anajaribu kukutisha..Labda anahisi kuna kitu unataka kumuomba
Acha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??Hizi kauli zinatia mashaka mkuu
just b honest ww ni Me kweli??
Shwarii mzima wewe? ?Hahahaaa...
Mambo?
True kabisaaLeo uko makini
Teh teh..Hiyo aibu umeanza lini??..Niko poa..Aje weweHahaaaaaaa kule sawa maana hakuna nyomi kama huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima lakini?