Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Yani kumbe ndio maswali yako haya.
Ni maswali ya msingi mkuu

Maana inasemekana kuna vidume wengi humu lakini nikichunguza

Napata the opposite

Hii ni laana au aidha watoto wazuri wanatumia i.d za kiume
 
Hapana sijaolewa bado
f4bc97a9a9eefd10414ba87baa4bf8d8.jpg
 
Hizi kauli zinatia mashaka mkuu

just b honest ww ni Me kweli??
Acha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??

Ngoja nikae kimya tu, nisije nikala BAN BURE

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Back
Top Bottom