Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, nilizaliwa hospital ya Ocean Road ambayo sikuhizi ni maalum kwa matibabu ya cancer
Ingawa hujatupa muonekano!
Una taaluma gani Na kwa sasa unafanya nini?
Nani anaku inspire katika maisha yako ya kila iitwapo Leo!?

muosha rungu
 


Joseverest usihangaike na huyu mtoa mafua !mie ndo kiboko yake kwa kila week lazima ale ban hiv ametoka juz tu kwenye ban ! we akikutusi fanya kureport [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] uzuri wao wanamjua !hawnaa shida kbs kumpa ban kila baada ya siku 5!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…