Interview ni moja tu humu joseee[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe.... unaogopa kukumbushia??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Majukumu mamy, lakinii si haba nshafika
Acha utotoFanya mambo yako please
Pole na karibuMajukumu mamy, lakinii si haba nshafika
HAYA FACT MIMI NI ME..Mkuu mm nachotafuta ni FACT.
hapa wadau kibao wanatafuta ma manzi kumbe wamejificha kwenye i.d za kiume
Niambie tu ukweli ww ni me ???
Ww mwanamke acha kujipendekeza
hasira yako kwangu ni kwasababu nilikutumia na kukutelekeza....big g !!!
Nakuquote kwa mara ya mwisho.Acha utoto
Upendo na kuwa tayari kusaidia hii ni kitu nimejifunza kuwa wema hauoziHongera kwa ujasiri!
Tania zipi tatu za pekee ulizonazo zilizokufikisha hapo Na unajifuna kuwa nazo!
muosha rungu
Sawa keshokutwa naomba niwe host wako tafadhali...niku interviewInterview ni moja tu humu joseee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nasubiri jibu mtt mzuriAtawaletea mrejesho huko pm pamekaa vipi.
Vipi unapokea Na kuomba msaada unapokumbana Na changamoto za maisha!?Upendo na kuwa tayari kusaidia hii ni kitu nimejifunza kuwa wema hayo I
Usiwe je watu rohoni mno hata wakikufanyia visa haitakuumiza
Muda ni pesa na ni mali usipoteze muda bila kufanya kitu productive
Nimekujibu mkuu.Nasubiri jibu mtt mzuri
Cheki pm
Nimekujibu mkuu.
JamaaaniiiWabaya nyieee. Hata kasms mwenzenu niwahi sasa page 11 ndio naanza upya ili niende na mtiririko..
Maswali kwa wengine bado??Vipi unapokea Na kuomba msaada unapokumbana Na changamoto za maisha!?
Msaada upi mkubwa umewahi omba!?
muosha rungu
Huko pm panachuruzika damu..[emoji3][emoji3]hivi kwann usimreport huyu kichaa wa dunia mkuu?bonyeza button ya report hana nusu dk anakula ban ndezi huyu
Najua[emoji19]Hakuna tatizo lakini ukumbini tutatumia kiswahili