Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Mkuu mm nachotafuta ni FACT.

hapa wadau kibao wanatafuta ma manzi kumbe wamejificha kwenye i.d za kiume

Niambie tu ukweli ww ni me ???
HAYA FACT MIMI NI ME..

BTW hapa tupo kwenye interview, hamna anayetafuta Manzi kama unataka manzi nenda jukwaa husika love connect.

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Hongera kwa ujasiri!
Tania zipi tatu za pekee ulizonazo zilizokufikisha hapo Na unajifuna kuwa nazo!

muosha rungu
Upendo na kuwa tayari kusaidia hii ni kitu nimejifunza kuwa wema hauozi

Usiweke watu rohoni mno hata wakikufanyia visa haitakuumiza

Muda ni pesa na ni mali usipoteze muda bila kufanya kitu productive
 
Upendo na kuwa tayari kusaidia hii ni kitu nimejifunza kuwa wema hayo I

Usiwe je watu rohoni mno hata wakikufanyia visa haitakuumiza

Muda ni pesa na ni mali usipoteze muda bila kufanya kitu productive
Vipi unapokea Na kuomba msaada unapokumbana Na changamoto za maisha!?
Msaada upi mkubwa umewahi omba!?


muosha rungu
 
Back
Top Bottom