Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Ninafanya kazi ninayoipenda na nimeisomea kwahiyo hiyo inanipa confidence kuwa competent. Pale ninaposhindwa kutimiza matarajio ya mtu ulimi ni ngaobyangunkubwa kuongea mpaka mtu akanielewa
Ulimi matumizi!!
Sky Eclat ni uoga Wa kitu gani ulionao ambao unahisi umekugharimu mambo mengi Na bado unakurudisha nyuma ktk harakati zako!

muosha rungu
 
Ulimi matumizi!!
Sky Eclat ni uoga Wa kitu gani ulionao ambao unahisi umekugharimu mambo mengi Na bado unakurudisha nyuma ktk harakati zako!

muosha rungu

Jadi yetu waafrika ni kutomuangalia mtu machoni mkiwa mnaongea hii ilinighrimu sana nilipokutana na watu wa mataifa mengine ambao kwao usipowapa eye contact huko serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…