Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mtakuwa mmeninyima uhuru wa kuflow...Teh!leo uwanja wetu
Ni kinyerere tu
Ndo nimelog in sasa hiviHakuna kidhungu leo.
Leo tutapata vingi vya kujifunza humu
Mbona nilikuaga mamii sema nilisahau kutumia herufi "dd"Si ilinikimbia jana?
So what!
Mbona vichat vya ki KE KEBaba yako naweza kuwa KE?
Kuwa na nidhamu kijana...
Ninafanya kazi ninayoipenda na nimeisomea kwahiyo hiyo inanipa confidence kuwa competent. Pale ninaposhindwa kutimiza matarajio ya mtu ulimi ni ngao yangu kuongea mpaka mtu akanielewaKatika shughuli zako kwa siku nn malengo yako hasa kazi watu au hisia zako?
Unatageti kipi hapo!
muosha rungu
Aya bhanaMbona nilikuaga mamii sema nilisahau kutumia herufi "dd"
Sorry kumbe ni "cc:" [emoji23] [emoji23]
Ulimi matumizi!!Ninafanya kazi ninayoipenda na nimeisomea kwahiyo hiyo inanipa confidence kuwa competent. Pale ninaposhindwa kutimiza matarajio ya mtu ulimi ni ngaobyangunkubwa kuongea mpaka mtu akanielewa
Atanitesa.Sio unajitesa
Duhh na ww ni KE??Atanitesa.
Haya mambo yana nguvu ni hatari.
Ulimi matumizi!!
Sky Eclat ni uoga Wa kitu gani ulionao ambao unahisi umekugharimu mambo mengi Na bado unakurudisha nyuma ktk harakati zako!
muosha rungu
Chura ipo?[emoji28][emoji28][emoji28]Sky Eclat ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, nilizaliwa hospital ya Ocean Road ambayo sikuhizi ni maalum kwa matibabu ya cancer
Nakusubiri tuyajenge vizuri.Aya bhana
Acha nifuatilie interview kwanza
Ila bado nimenuna[emoji57]
Hii nitaifuatilia.
Unamhoji mtu makini sana.
Sitegemei kuona swali la hogo au bamia
Communication skills!Jedi yetu waafrika ni kutomuangalia mtu machoni mkiwa mnaongea hii ilinighrimu sana nilipokutana na watu wa mataifa mengine ambao kwao usipowapa eye contact huko serious
[emoji137] abeee jana na leo Numbiii santee kwa kuniwahia siti
Wewe ni KE??[emoji23]
Mama Naveen na Najma [emoji137]Abee
Ninapenda kusaidia sana projects za kanisani na wenye shida. Ninapenda pia vitu vizuri sijisahau mimi mwenyeweCommunication skills!
Matumizi makubwa ya kipato chako ni kwenye nn hasa?kwanini
muosha rungu