Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Umeogopa madongo!
Kulingana Na ratiba Na shughuli zako kwa sasa,unajiona wapi miaka 5 ijayo?

muosha rungu
Kama mambo yatakwenda vizuri kama milivyopanga baada ya miaka mitano nitakuwa kwenye makazi yangu ya ndoto na biashara zitakuwa zinanipa pesa ya kula bila kuumiza kichwa kazi yangu itakuwa kufanya mazoezi na ibada na kula vizuri
 
Ahsante
 
Kama mambo yatakwenda vizuri kama milivyopanga baada ya miaka Milano nitakuwa kwenye makazi yangu ya ndoto na biashara zitakuwa zinanipa pesa ya kula bila kumi za kichwa kazi yangu itakuwa kufanya mazoezi na ibada na kula vizuri
Mwisho kabisa hobbies zako Sky Eclat ni zipi!
unapenda kutembelea nchi gani?
Unakasirishwa haraka Na nini?

muosha rungu
 
Mwisho kabisa hobbies zako Sky Eclat ni zipi!
unapenda kutembelea nchi gani?
Unakasirishwa haraka Na nini?

muosha rungu

Ninapenda sana kusoma na kuujaza ubongo wangu na information kila siku, ninasoma marida ya field yangu ambayo ninayapata kila baada ya wiki mbili, kusoma Bible, na kwenda sehemu takatifu kama Bethlehem, Fatima, Rome, na kwingineko.

Mimi si mwepesi kukasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…