Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Kwani we Mungu? Atakuwa tu smart si anarithi za mama yake.

Nimekumiss lakini.
Huyo anazaliwa mmoja tu kila baada ya miaka 50..Labda uvute subira..

Nimekumiss pia dear..Hope uko poa
 
Ni sehemu flani ambayo huwezi kuwa mpweke, lazima ujichanganye na wenzako ukijifanya wa high class lazima wakushushe kidoogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapendwa,

Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.

Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.

Kwaherini

Mimi swali langu ni moja tu, hapa ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom