Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Numbisa kila nikikuona napata hamu ya kukusalimia jamani![emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa kila nikikuona napata hamu ya kukusalimia jamani![emoji1][emoji1][emoji1]
Ufunge tu..Mana hutokaa upate mtoto smart kama HS...Teh teh..Maji ya uzima eheeKwanini nifunge jamani, hii mimba nilikunywa kwenye maji ujue.
Ulitamka kabisa umeniacha na talaka ukanipa, sasa hiyo space gani?Kuachana au kupeana space??..Mi sijui kuacha..labda kama we umeniacha
Kwani we Mungu? Atakuwa tu smart si anarithi za mama yake.Ufunge tu..Mana hutokaa upate mtoto smart kama HS...Teh teh..Maji ya uzima ehee
ASAP!Karibu sana
Shem unaniangusha..Anaanzaje kuona sasa..Labda kama utamsimuliaAaah shem..watu wanashea nywila siku hizi. Nikikutafuta halafu pacha akaona je
We kawaida yako kuniwekea maneno mdomoni..SishangaiUlitamka kabisa umeniacha na talaka ukanipa, sasa hiyo space gani?
Huyo anazaliwa mmoja tu kila baada ya miaka 50..Labda uvute subira..Kwani we Mungu? Atakuwa tu smart si anarithi za mama yake.
Nimekumiss lakini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni sehemu flani ambayo huwezi kuwa mpweke, lazima ujichanganye na wenzako ukijifanya wa high class lazima wakushushe kidoogo
Usimfananishe coco Chanel na hao mifuniko ya vyoo(sky eclat na emmyta)HUYU BIBIE NTAFWATILIA INTERVIEW YAKE.
emmyta PIA NTAMFWATILIA HAWA MEMBER NI WASTAARABU SANA.
HUWEZ WAFANANISHA NA cocochanel
sijaridhika....ila sio big deal,asante.Umeridhika na jibu mkuu
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Siku coco akija tafadhali usimuulize chochote kuhusu Magu.What!
muosha rungu
Nimefikaaa. Kwa sky lazima uondoke na ma x-pozha ya kutoshaThis one nitafuatilia maana namkubali sana huyu bibie, ila muosha rungu uulize maswali yenye mashiko tafadhali.
Nalendwa
Heaven Sent
Neybright mkuje.
I love you.We kawaida yako kuniwekea maneno mdomoni..Sishangai
Niko poa kabisa.Huyo anazaliwa mmoja tu kila baada ya miaka 50..Labda uvute subira..
Nimekumiss pia dear..Hope uko poa
Aah kabisa, ndio maana nimetia timu mapemaaa.Nimefikaaa. Kwa sky lazima uondoke na ma x-pozha ya kutosha
Nakuheshimu sana ujue1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo