Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Duuh..Niliimiss basi..Naamini uliwaambia size ya Kaboom ndo inakufaa
Yaani ilikuwa kila swali linalohusu hayo mambo ni wewe ndio refference. Vipi haujakutana na pm za usumbufu? Maana nilikupaisha kweli kweli.
 
ukilifanyia interview uniite niskie litakavyo jibu shutuma za ujike dume na shutuma za kuwa hawara wa bashite.
AISEEEEE ,,,BTW NOTNMY STUFF ,,, ILA NITAMTAFUTA COCOCHANEL ,,NIPATE KUJUA NINI SABABU YAWW KUMCHUKIA NAMNA HIYO...
Alikulia pesa zako ??
Siasa????
Anakuitaji ila humpendi ??
Unamhitaji ila alikotolea nje ???

Yaan nini jambo bays hasa alokufanyia mpaka umchukie namna iyo ?????.
 
Yaani ilikuwa kila swali linalohusu hayo mambo ni wewe ndio refference. Vipi haujakutana na pm za usumbufu? Maana nilikupaisha kweli kweli.
Teh teh..Cheki kanavyonijaza ujinga..Pm niliikuta ya Khantwe tu
 
HUYU BIBIE NTAFWATILIA INTERVIEW YAKE.

emmyta PIA NTAMFWATILIA HAWA MEMBER NI WASTAARABU SANA.

HUWEZ WAFANANISHA NA cocochanel
COCOCHANEL ,, she is a Strong woman ,decided ,,determined and practical one ,, She is intelligent and sharp that mean if SHE DEFEND A CERTAIN THING OR POINT OF VIEW ,THERE MUST BE A GOOD A VERY GOOD REASONS BEHIND IT...

NIMDADA ANAYEJUA ANACHOKIONGEA NA YES ANAONGEA WITH FACTS THE " EXACTLY FACTS ""


so don't insult/underestimate her because of Your EGO.
 
hahah duh !alifanyiwa muda kwakwel tena mwanzon mwanzo anaanza huyu dj !was superb !ya demi na ya Madam Mwajuma ndo nilizozifatilia zilikua nzuri sana !yaan nilicheka sana !ni wadada open sana ! hawajui kufake na kuvunga !
Damn me!! Kumbe na madam ashasailiwa!!! Yule mwanamke namkubali pia, huwa yuko free na anajielewa pia.
 
Ni kweli kabisa mpenzi, si unajuaga vile kwanu hakuna wa mfano wako eeh? [emoji12] [emoji12]
Siwezi kuusemea moyo bana..Ila upendo wangu kwako ni dhahiri..Shahidi moyo wangu
 
Back
Top Bottom