Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

AISEEEEE ,,,BTW NOTNMY STUFF ,,, ILA NITAMTAFUTA COCOCHANEL ,,NIPATE KUJUA NINI SABABU YAWW KUMCHUKIA NAMNA HIYO...
Alikulia pesa zako ??
Siasa????
Anakuitaji ila humpendi ??
Unamhitaji ila alikotolea nje ???

Yaan nini jambo bays hasa alokufanyia mpaka umchukie namna iyo ?????.
Kuchukiwa ni kawaida ila usikaze sana msuli kumtetea, subiri siku ikifika utafuatilia usahili na kubaini unayoyaona sasa kama kweli au la.
 
COCOCHANEL ,, she is a Strong woman ,decided ,,determined and practical one ,, She is intelligent and sharp that mean if SHE DEFEND A CERTAIN THING OR POINT OF VIEW ,THERE MUST BE A GOOD A VERY GOOD REASONS BEHIND IT...

NIMDADA ANAYEJUA ANACHOKIONGEA NA YES ANAONGEA WITH FACTS THE " EXACTLY FACTS ""


so don't insult/underestimate her because of Your EGO.
Kama kweli una busara bora umshauri huyo cocochanel aikatae interview kuliko na kumtetea jambo ambalo yeye anaweza kujitetea
 
hahah duh !alifanyiwa muda kwakwel tena mwanzon mwanzo anaanza huyu dj !was superb !ya demi na ya Madam Mwajuma ndo nilizozifatilia zilikua nzuri sana !yaan nilicheka sana !ni wadada open sana ! hawajui kufake na kuvunga !
Ehee ngoja nikaisome nampatia picha hapa majibu yake nacheka mwenyewe[emoji3] ngoja nikaitafute huku nasubiria ya sky
 
Hahahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]

Bablai tutakuja kuwa wapenda ubuyu aisee..

Utani hadithia baadaye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya

Mi narudi kusoma ya jana

Mambo ya specimen[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo mambo ya kununa na keyboard hakuna .....make jana nilikuchukua pichaaa

c6d8da5cf7a1b2e8b081070c97d5b76d.jpg
 
Back
Top Bottom