MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Damn me!! Kumbe na madam ashasailiwa!!! Yule mwanamke namkubali pia, huwa yuko free na anajielewa pia.
jaman yule dada asikae na mm tu !haha yaan yupo free hatar !kuna swali aliulizwa umewah cheat akasema ana boonge la nyukilia analifanya dec if m not mistaken ! jaman nilichekaaaaaaaaaaaaa