Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Barafu wa moyo upo?
Pacha nakusemea kwa paulo unachepuka![emoji7] [emoji7] nipo jamani..ulipotelea wapi? Sijakuona siku nyingi katika pita pita zangu
Pacha habari!
Michepuko ndio inamficha, mi mwenyewe nina miezi sijamtia machoni.Nzuri pacha..umemfichua shem eeh.
Nilizaliwa Dar lakini sehemu kubwa ya elimu yangu ilikuwa kwenye boarding schools.hashima yako dada mkubwa sky eclat.
unauelewa mkubwa sana wa historia ya jiji la dar es salaam na watu wake,hasa wale waliovuma miaka ya 80 na 90.
je?, wewe ni mmoja ya mama/dada uliyezaliwa mjini,kusomea mjini na kukulia mjini?.
unamtathimini vipi bmkubwa faiza foxy?.maoni yako please.
Pacha nakusemea kwa paulo unachepuka!
Mbona unajibu nusu nusu dada....malizia kujibu swali lote bhanaNilizaliwa Dar lakini sehemu kubwa ya elimu yangu ilikuwa kwenye boarding schools.
Mama mtoto..Haya ndo makiss ya kilugha ama??[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Tena ..ke valuable, hahahahah[emoji23] [emoji23]
muosha rungu
tena siku hiyo naomba uje kunitag wewe mwenyewe mkuu.hahahahahahaahahah ila wewee
Sijakuchoka pacha wangu, ila naona huo ushemeji wenu unataka kuvuka mipaka.[emoji23][emoji23] pacha umenichoka naona.
Mimi nipe mikoba yako nianze kuhoji wanaume! Maana kuna watu nna usongo nao[emoji3]Conditions
muosha rungu
Nina mimba changa alafu inakuchukia!!Mama mtoto..Haya ndo makiss ya kilugha ama??
mmmmh!tena siku hiyo naomba uje kunitag wewe mwenyewe mkuu.
Michepuko ndio inamficha, mi mwenyewe nina miezi sijamtia machoni.
Roho mbaya umeanza lini?Sijakuchoka pacha wangu, ila naona huo ushemeji wenu unataka kuvuka mipaka.
Unajua aliniachaga baada ya kunogewa na michepuko, hivyo hata sijuagi anapokuwa siku hizi..Inabidi aulizwe vizuri. Hata kuchungulia tu huwa simuoni
Cc Kaboom
Sijakuchoka pacha wangu, ila naona huo ushemeji wenu unataka kuvuka mipaka.