Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

hashima yako dada mkubwa sky eclat.
unauelewa mkubwa sana wa historia ya jiji la dar es salaam na watu wake,hasa wale waliovuma miaka ya 80 na 90.

je?, wewe ni mmoja ya mama/dada uliyezaliwa mjini,kusomea mjini na kukulia mjini?.

unamtathimini vipi bmkubwa faiza foxy?.maoni yako please.
Nilizaliwa Dar lakini sehemu kubwa ya elimu yangu ilikuwa kwenye boarding schools.
Uelewa wangu wa historia ya Dar inaanza kwa wazazi ambao walisoma wakati wa mkoloni na baada ya uhuru walikuwa wafanyakazi serikali ni na mashirika ya umma
 
NAOMBA KIDOGO BIBIE sky eclat nijuze kuhusu maisha ya apo kwa mtogole mana sisi mkoani hatupajui ''DAR''
 
Back
Top Bottom