Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Wahitimu wengi hawana ajira na hawapendi kujishughulisha, mtu anamaliza anawaza ofisi ya kiyoyozi, unahisi shida ni nini? Mfumo wetu wa elimu? Nini kifanyike?
Wanafunzi wangepewa mkopo equevalent to maintance loan ya mwaka mwaka wa mwisho kabla ya ku- graduate kwa makubaliano waurudishe baada ya miaka mitano ninadhani hii ingejenga ajira nyingi mtaani
 
Wanafunzi wangepewa mkopo equevalent to maintance loan ya mwaka mwaka wa mwisho kabla ya ku- graduate kwa makubaliano waurudishe baada ya miaka mitano ninadhani hii ingejenga ajira nyingi mtaani
 
Wengi bado tuko njia panda kwenye hili?

Unahudimia watu kwa alivyokuwa anafanya mama Theresa wa Calcuta ama?

Go..! Hit the point.
Njia panda unafanya nini mtt mzuri[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Njoo magetoni huku upepo unavuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…