Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wanafunzi wangepewa mkopo equevalent to maintance loan ya mwaka mwaka wa mwisho kabla ya ku- graduate kwa makubaliano waurudishe baada ya miaka mitano ninadhani hii ingejenga ajira nyingi mtaaniWahitimu wengi hawana ajira na hawapendi kujishughulisha, mtu anamaliza anawaza ofisi ya kiyoyozi, unahisi shida ni nini? Mfumo wetu wa elimu? Nini kifanyike?