Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Unaonaje hali ya uchumi wa Tanzania tangu Mh. JPM aingie madarakani??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
We nawe! Tutaachaje kuwa tegemezi sasa!! Uanaume wenu utakuwa nini sasa?!!!!
Nimekujibu coz umenicost mume leo[emoji57]
Sema uliona pesa tu Sio mume [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Kwa wewe uonavyo Serikali ya Tanzania inawapa vipaumbele wanawake inavyotakiwa???

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Du kwakweli hapa sielewi kwasababu wasi hana wanafaulu wengi O-level kwenda high school lakini kwenye nafasi nzito wanawake bado ni wachache. Sijui inakuwaje hii kama vile kuna glass ceiling wanawake hatupenyi
 
Inapotokea migogoro kwenye mahusiano yenu unatumia njia gani kuitatua??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Du kwakweli hapa sielewi kwasababu wasi hana wanafaulu wengi O-level kwenda high school lakini kwenye nafasi nzito wanawake bado ni wachache. Sijui inakuwaje hii kama vile kuna glass ceiling wanawake hatupenyi
Kama sijakosea huwa kuna vipaumbele huwa mnapewa, unadhani ni kwanini pamoja na kupewa vipaumbele lakini bado wajuzi na wataalamu bado wachache??

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Sema uliona pesa tu Sio mume [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kuniharibia, niliona mume kabisa pale, na nilikuwa nishapanga hadi fundi wa gauni langu la harusi na sehemu ya honey moon!!
 
Back
Top Bottom