Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kuniharibia, niliona mume kabisa pale, na nilikuwa nishapanga hadi fundi wa gauni langu la harusi na sehemu ya honey moon!!
sio nakuharibia Ulivosikia ana ofisi yake na kipato sio haba najua ulitamani upae akakuoe hapohapo

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Umesema unafanya kazi ya kuhudumia watu. Hii ni kazi nzuri lakini inayohitaji kujitoa sana, ni changamoto zipi unakutana nazo?

Na ni changamoto gani kubwa uliwahi kukutana nayo hadi ukajutia kuifanya kazi hiyo?
Nilikuwa night duty ICU nililala wakati mgonjwa alikuwa mahtuti lakini hayo ni wnzi za training
Changamoto ni wakati umeplan life na kuna uhaba vwavwatu inabidi buingie mzigo sasa partner inabidi awe muelewa
 
Sky Eclat kwa uonavyo wewe, elimu juu ya mitandao ya kijamii hapa nchini inatolewa ipasavyo??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
sio nakuharibia Ulivosikia ana ofisi yake na kipato sio haba najua ulitamani upae akakuoe hapohapo

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ndio maana nakulaumu kwa kunicost mume leo, itabidi unilipe. We hujui ni fursa adimu sana ile!! Maana wengi wanakuja wanalia lia, sasa finaly mume wangu kaja alafu ukamkimbiza[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hobbies na Interest zako ni zipi bibie Eclat...

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Ndio maana nakulaumu kwa kunicost mume leo, itabidi unilipe. We hujui ni fursa adimu sana ile!! Maana wengi wanakuja wanalia lia, sasa finaly mume wangu kaja alafu ukamkimbiza[emoji24] [emoji24] [emoji24]
nilimkimbiza wapi na wakati wewe ulighairi??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Nilikuwa night duty ICU nililala wakati mgonjwa alikuwa mahtuti lakini hayo ni wnzi za training
Changamoto ni wakati umeplan life na kuna uhaba vwavwatu inabidi buingie mzigo sasa partner inabidi awe muelewa
Good, partner wako anadeal vipi na situations kama hizo? Imewahi kuwa kikwazo ktk mahusiano yenu?

Unachukuliaje suala la kusucrifice career kwaajili ya familia?
Ikitokea mumeo akahitaji uache kazi na ulee watoto nyumbani utakubaliana nae?
 
Kwa nini ulichagua kujiita Sky Eclat hapa JF? na inaonesha Oprah ni role model wako si ndio bibie?

Back
Top Bottom