Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mchumba namsubiri masaa hajitokezi!! Hakuwa serious.nilimkimbiza wapi na wakati wewe ulighairi??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Absolutely ni Behaviourist!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji122] [emoji122] [emoji122] jf!
Kama usingeonana Na asprin ni member yupi ungekuwa radhi kuolewa naye au hata kudate!
muosha rungu
Nimekuja maaUdugu wangu emmyta shunie linamo cab ney sakayo mbon simioni huku
Mtafute lakini...ile ni fursa ujueSasa mchumba namsubiri masaa hajitokezi!! Hakuwa serious.
Shikamoo auntNina boys wawili
Babu umenkumbusha VWAWA aseee [emoji4] zone fulani ivi mpakani pakani na nchi fulani
HongeraaNina boys wawili
Ninatumia sana mawasiliano kuongea na kuadhibu watoto, siamini physical punishment. Kabla ya kupika ninawauliza wanataka kula nini na chakula kikiiva asiyemalizacsahani inabidi aseme ni kwanini kwasababu nimepika alichotaka kulaWewe ni mama wa aina gani kwa wanao?
Si nimesema nimeghairi jamani. Nasubiri fursa nyingine.Mtafute lakini...ile ni fursa ujue
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo dada
Kwaio ww ni KE??Huwenda mimi nikawa ndiye ke niliefanikiwa kuficha jinsia yangu kwa mda mrefu zaidi JF!![emoji28][emoji28][emoji28]
Kwasababu wamekuja baadae sana kwakweli sina maisha mengine zaidi ya kazi na watoto hivyo nisipokuwa kazini nitakuwa naoHongeraa
Pamoja na jukumu ulonalo, Unaweza vipi kutimiza wajibu wako kama mama kuhakikisha watoto wanafurahia uwepo wako??
Mmmh[emoji28] [emoji28] [emoji28] babu Asprin bwana
Sasa ww ni ME alafu mambo za KEUnaonaje nafasi ya wanawake wa Tanzania katika ngazi mbalimbali za kutoa maamuzi hapa nchini??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Nimekuja swahibaNgoja aje