Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Ninatumia sana mawasiliano kuongea na kuadhibu watoto, siamini physical punishment. Kabla ya kupika ninawauliza wanataka kula nini na chakula kikiiva asiyemalizacsahani inabidi aseme ni kwanini kwasababu nimepika alichotaka kula
Aisee
 
yaani kufatilia hii interview inahitaji moyo wa chuma. swali la kwanza liko page ya 20 na huko. I can't jamaniii
Ndio interview za muosha rungu hizi huwa, nafikiri huwa hatuzichukulii serious sijui. Alafu anaandika uzi saa5 asubuhi interview inakuja kuanza saa12 jioni. Na hivyo uzi uko chit chat, unakuta hadi usaili uanze uzi uko pake ya 50.
 
Back
Top Bottom