NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
AiseeNinatumia sana mawasiliano kuongea na kuadhibu watoto, siamini physical punishment. Kabla ya kupika ninawauliza wanataka kula nini na chakula kikiiva asiyemalizacsahani inabidi aseme ni kwanini kwasababu nimepika alichotaka kula