stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Hongera dada mapemaaaaa unajibu maswali! Ngoja namimi niwahi siti ya mbele!1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
HayaHahah ni pm hayo maswali baby!
muosha rungu
Povu[emoji3]Narudia tena kama huna swali la kuuliza nyuzi hii huruhusiwi kupiga stori na mtu asiyehusika mara mambo huyu powa watu tunakosa umakini na kujua dj sepetu kaauliza nini na muulizwaji kajibuje. Mods piga ban wasumbufu wote kwenye hizi interview.
mama yupo makini sana hata comments zake huwa nazifatilia sana na lazima nimpe likesDu kumbe wengi sana wanamuelewa huyu mtu
Kila mtu ntafuatilia ntafuatilia
Haya sawa
Ikiwezekana umtumie pm maswali mazuur lkn mm namwamini Dj Sepetu[emoji4]Baby andaa maswali ya msingi leo..
Uko sahihi mkuuHUYU BIBIE NTAFWATILIA INTERVIEW YAKE.
emmyta PIA NTAMFWATILIA HAWA MEMBER NI WASTAARABU SANA.
HUWEZ WAFANANISHA NA cocochanel
Aisee1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
Hata mimi namwaminiIkiwezekana umtumie pm maswali mazuur lkn mm namwamini Dj Sepetu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaahaahaaaaukilifanyia interview uniite niskie litakavyo jibu shutuma za ujike dume na shutuma za kuwa hawara wa bashite.
Duh! Yaani wewe.If God wishes cocochanel will be here on Friday!
muosha rungu