stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Hongera dada mapemaaaaa unajibu maswali! Ngoja namimi niwahi siti ya mbele!1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app