Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Uwiiiiii haya makubwa kwakweli.....Mummy tutakualika dinner nyumbani
Poa kabisa.Ni kama vile nimekumisssss[emoji3][emoji3]
Mambo zako ?
Hahahaaa! Sawa mkwe.Nimeandika How mkwe..
Some vizuri hebu.
Charii mzima we kweli????Jamii inayokuzunguka inakuonaje/inakuchukuliaje??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Wewe nae kwa kujipendekeza kwa mume wangu hujambo.Kaishasema hakutaki ila mie mzima kabisaAsprin ni mume wa kila mtu, kasoro mimi tu.
Haujambo mke mwenza?
Sasagivi sina ila nikipata nitamuulizaHuna swali muda ndo huu
Nipo nasoma tuuUdugu wangu emmyta shunie linamo cab ney sakayo mbon simioni huku
SawaSasagivi sina ila nikipata nitamuuliza
1.Ni jambo gani baya limewahi kukutokea linalohusiana na jf hadi ukajutia kujiunga jf?Nilikuwa shule na matokeo hayakuwa mazuri nilifikiri muda ninaotumia JF ulichangia lakini nimeyarekebisha lakini kuna wakati nitapunguza kuingia
Hanitaki wakati niko nae hapa!! Huwa anakudanganya tu maana anakujua kwa wivu tu haujambo.Wewe nae kwa kujipendekeza kwa mume wangu hujambo.Kaishasema hakutaki ila mie mzima kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli hakuna baya labda vi- Ben 10 kujaza inbox. Ninajifunza mengi mno JF1.Ni jambo gani baya limewahi kukutokea linalohusiana na jf hadi ukajutia kujiunga jf?
2. Jf ina mchango gani katika maisha yako.
We nawe! Tutaachaje kuwa tegemezi sasa!! Uanaume wenu utakuwa nini sasa?!!!!Unahamasishaje wanawake wenzako katika masuala mbalimbali ya kujiajiri, kusaidiana na hata kuacha kuwa tegemezi??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Limeshajibiwa kule nyumaUnajiona wapi miaka mitano ijayo kimalengo utakuwa umefikia wapi??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Heee!shikamoo JFJF ni family nimempata mume JF na marafiki wengi tu ambao tunaendelea kuwasiliana nje ya JF