Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat tel me:
Ni kitu gani kinakukera hapa JF?
Ni kitu gani ungependa kifanyike hapa JF ili michango ya mawazo unayoletwa iwe na ubora na kureflect usomi wa members?
Ni kitu gani kinakufurahisha hapa JF?
Inakera mtu anapokutukana from no where lakini ninaweza mate na kuachana nae, tuwe tunaheshimu ushauri wa watu kwasababu tuna uwezo tofauti wa kufikiri
 
Sijafahamu watataka kuwa nani lakini ni maisha yao nitawapa support na elimu ila usishangae mtoto znaposema anataka kuwa foot baller au tennis player wakati traditionally tulilelewa kuamini best careers are lawyers and doctors
Tujifunze kuwaacha wenetu wajiamulie wapendacho.


Wapo wazazi wanaowakatia tamaa watoto wao kwa sababu mbali mbali, we kama mama unawashauri kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…