Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Inakera mtu anapokutukana from no where lakini ninaweza mate na kuachana nae, tuwe tunaheshimu ushauri wa watu kwasababu tuna uwezo tofauti wa kufikiriSky Eclat tel me:
Ni kitu gani kinakukera hapa JF?
Ni kitu gani ungependa kifanyike hapa JF ili michango ya mawazo unayoletwa iwe na ubora na kureflect usomi wa members?
Ni kitu gani kinakufurahisha hapa JF?