Haleluya!!Mimi na hubby tumetengeneza maisha ya style yetu akiwa nyumbani anafanya kazi zote na mimi kadhalika hatuna culture ile anasubiri nirudi nipike
Eeeh bwana.We unabebanisha eeehh
Unafikiri imtervw itasaidianifungulie uzi unifanyie interview ndo nitakujibu!![emoji13][emoji13][emoji13]
Mwenyewe niko njia panda
Ooooh!! Unaishi nchi gani? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ni story za nchi mbali mbali nilizotembelea si zote kuwa ni za a Kwamtogole, ninaweka tujifunze
We ni changamotoo
Ni bahati sana tangia nikiwa mdogo nilipenda kuhudumia watu na nime bahati ja kupata watu walionisaidia kufikisha malengo yanguHaleluya!!
Growing up huwa tunakuwa na dreams ambazo baadae twaweza kuzibadili au kuzitimiza. Je ilikuwa ndoto yako kufanya unachofanya leo?
Halafu kuna swali langu muhimu hajajibuEeeh bwana.
Haha sasa niko TanzaniaOoooh!! Unaishi nchi gani? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tanzania...Ooooh!! Unaishi nchi gani? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndoa ilikuwa lini lakiniiMoto haujawahi kuniacha salama
View attachment 587662
Lipi hilo? Muulize kwa kumquote.Halafu kuna swali langu muhimu hajajibu
Wewe ni mchokoziWe ni changamotoo
Hahahaaa!! Asante mama, uwe na usiku mwema.Haha sasa niko Tanzania
Na aliyezaliwa Muhimbili hazidi miaka mingapi?Mtu aliezaliwa ocean road hapungui 40yrs old.
Umeanza hivyoMtu aliezaliwa ocean road hapungui 40yrs old.