Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Haleluya!!Mimi na hubby tumetengeneza maisha ya style yetu akiwa nyumbani anafanya kazi zote na mimi kadhalika hatuna culture ile anasubiri nirudi nipike
Growing up huwa tunakuwa na dreams ambazo baadae twaweza kuzibadili au kuzitimiza. Je ilikuwa ndoto yako kufanya unachofanya leo?