Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Interview za humu wazee wenzetu ni geniveros, sky na stable woman waliobaki wote ni 22 to 25
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnabalaa nyie mjue, naona mnatusema mie na espy kuna uzi wa under 23 tumeingia na kujishaua juu mie 18, espy 20 sasa sijui mmetuchungulia???
BTW vipi mmeamka salama?
Cc Linamo
Cc antonio
 
Hata ukiulizwa swali moja linakutosha.

Nitakosa uhondo jukwaa la siasa ukipoteza muda kwenye usahili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnabalaa nyie mjue, naona mnatusema mie na espy kuna uzi wa under 23 tumeingia na kujishaua juu mie 18, espy 20 sasa sijui mmetuchungulia???
BTW vipi mmeamka salama?
Cc Linamo
Cc antonio
Mie tangu hii wiki ianze ndio kwanzaaaa nina miaka 20, nimegoma kuzeeka. Kujikuta humu mwenye 40 niko peke yangu nini!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnabalaa nyie mjue, naona mnatusema mie na espy kuna uzi wa under 23 tumeingia na kujishaua juu mie 18, espy 20 sasa sijui mmetuchungulia???
BTW vipi mmeamka salama?
Cc Linamo
Cc antonio
Ahahaha hamna kipenzi sijauona kabisa huo uzi ahhaha kwahiyo Ney we na Auntie yangu kumbe ndio wale wale tumeamka salama kipenzi hofu kwako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…