NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
Ahsante.Uvumilivu, wenzetu ndoa maana yake ni mpaka kifo kiwatenganishe pia ni watunza siri wazuri sana. Yandani hayatakaa yatoke nje.
Rafiki yangu aliniambia mama yao aliwafundisha hata kilicholiwa ndani jirani hapaswi kujua.
Sky njoo nipe like yangu