Nini sasaaaWoyoooooooooooo
Kwa mzee naniii bwanaaSema akiya Mungu dada
thats nursingNinahudumia watu lakini si fani ya udaktari
How can you be a Mrs while you have not settled down yet...?!!!Ninatamani ningesettle down mapema lakini huwezi kurudisha muda nyuma ninachoshukuru ni kuwa nimekuwa na busara zaidi kuhimili mikiki ya mahusiano
Wewe ni ke?? Tuanzie hapaKama wewe ni me kilichokuleta hapa nini au ndiyo ya wahenga nyani haoni.........
Unajua maana ya tusi?
kuna tusi nimempa?
bahati mbaya vitu anavyotetea havijui hana tofauti na bendera inafwata upande wa upepo unapovuma
Nipe viashiria viwili vilivyo kuonyesha namchukia? kumkosoa ndo chuki?
siku nyengine usiniquote kwa akili yako me naweza kumtongoza cocochanel nimekosa mwanamke wakumtongoza kweli? bora nimtongozee kichaa kulipo huyoo.
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Yaani umejiandika kabisaaaaa
Eeeh acha wivu.. unajijua huna nondo.
Kaa uendelee kusubiri ofisi zikifunguliwa ndio ukae nje ya majengo kuvizia zilizo wazi uingie humu kusoma.
sawa kibaraka wa cocochanel endelea kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Bimkubwa umeamkaje?
Barida hunter
Unamtia makwenzi tu awe na adabu.
Mzeee naniii Mama N jamanKwa mzee naniii bwanaa
Dada nimevuta picha ulivyokuwa unahongwa ujueNini sasaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani we acha tuuu
Kweli auntie we mfatilie uji ila me ananipa raha sana josse nafurahi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachokitaka utakipataNilimfata espy pm ndo kaenda nishitaki [emoji81] [emoji81] [emoji81].
Sawa sawa endelea kujichuliaBan ila muda hujafika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakwambia ina mana maswali yangu huyaoni au dharau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu anauliza hadi ambayo yalishaulizwa, ilimradi tu aulize. Na usopojibu subiri malalamishi sasa[emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ney ulikua kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Mungu nilicheka sana shunie, yaan Joseverest ni kiboko. Dada wa watu akifika anamuuliza ni swali gani na gani sijajibu kaka anaanza upya ujue nilikuwa nacheka sana nilikuwa nafanya kuwafatilia tuu jf raha sana