Labda mod [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Khaaah!! Hiyo ni umeweka kama avatar au ni kitu gani? Mbona banned na upo humu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kawaida yake kwenda kinyume cha matukio, ndio maana kanikomalia mimi 40+ wakati mtoto wa watu 20 tu.
Mama mzima[emoji23][emoji23][emoji23]we jose wewe
Mzima mamboMama mzima
Miss anahojiwa kule twendeMama mzima
Poa jamanMzima mambo
Yule mjinga kaja na ID mpya baada ya banPoa jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ney ulikua kama mimi
Wewe ni Katibu wa Hospitali au ni Mshauri nasaha (Counselor) au basi utakuwa ni Pharmacist.Ninahudumia watu lakini si fani ya udaktari
Niliweka kuwa ninapenda kusoma majarida ya taaluma yangu, bible na kutembelea holy placesSky,
Katika hobbies zako hujaweka socialization with friends. Hivi hizi stories za mashoga zako ambazo huwa una share hapa jukwaani,huwa wanakufuata ofisini kukuhadithia au...?!!!
Nimeona mamaYule mjinga kaja na ID mpya baada ya ban
Kwann uliwaambia watoe?Sijui kabisa ujue inafunguliwaje niliwaambia mods wanitolee pm kabisa
Hahahaa!! Mimi sijakushtaki bwana, usinisingizie.Uko palipofanya ukanishtak
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Ntaachaje kunote dadaako ahahahaaaaaa
Kwahiyo hautaki au unakataa?Teh teh teh teh teh !!!!!
πππππ
Hahahhaaaa!! Kuwa na viben 10 ni kipaji.au unamfinya shavu km mama zetu walivyokua wanatufinya anakuwa na adabu ful! kuna mdada mmoja namfaham aliwah toka na serengeti mpk leo anajuta! kale kajank kanamfata had job kanaomba gari kakatanue mjin !uwiii nafwa mie! aliharibu sana maisha yake !
Hahahaaaa!!Kweli auntie we mfatilie uji ila me ananipa raha sana josse nafurahi sana
Ujue ulivyosema josse huyu na yule tofauti nilikua sijakuelewa sasa nimekuelewa josse wa mwanzo auntie alikuwa mpole sana sio mbishi kama huyuHahahaaaa!!
Ndio maana nikagundua jose mpya ni tofauti mnooo na jose yuleee wa kabla ya huyu mpya, sijui umenielewa!!!
Watu wasumbufu sana humu imebidi niwaombe mods tu wanitoleeKwann uliwaambia watoe?
Maombi yalikuzidi au?