Wanaume wa jf tunapenda Id na profile picture.Watu wasumbufu sana humu ikabidi niwaombe mods tu wanitolee
Mambo[emoji112] [emoji112] [emoji119]Watu wasumbufu sana humu imebidi niwaombe mods tu wanitolee
Hii account nahisi ilidukuliwa, tizama hata hoja utagundua zina utofauti mnooo.Ujue ulivyosema josse huyu na yule tofauti nilikua sijakuelewa sasa nimekuelewa josse wa mwanzo auntie alikuwa mpole sana sio mbishi kama huyu
Kabisa bila kusahau mbwa mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vipi na yako iko na solex kama ya shunie?nahisi yako imeongezewa ulinzi wa Watu wasiojulikana na SMG juu.
Sasa nikitaka kufungukia nafungukia wapi sasa.Kabisa bila kusahau mbwa mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Auntie nipo pamoja na wewe ujueHii account nahisi ilidukuliwa, tizama hata hoja utagundua zina utofauti mnooo.
Hakuwa mlalamishi, very discent, hana fujo, matured.
Something isnt right here.
Poa kaka akee za weweMambo[emoji112] [emoji112] [emoji119]
Asante mkuuWanaume wa jf tunapenda Id na profile picture.
mimi nimiongoni.
Unaweka picha za kuvutia + your name. Watu tunajaa
hahahaha pole kwa usumbufu
Kigori habari yako[emoji23] [emoji23]Akuu nyie mloamua kuzeeka zeekeni tu, mie sizeeki mtoto wa watu.
Kwetu kabisa ujue[emoji28] [emoji28]Ndioo kwenyewe hukooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiniambie na wewe ni wa njia hiyo, nimepita sana kipande hiyo na nimehongwa ndizi humo za kutoshaaa
Umemuona Jose kwenye uzi wa faiza?[emoji109] [emoji109] [emoji109]
AiseeeeKwetu kabisa ujue[emoji28] [emoji28]
Funguka hapa jamvini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa nikitaka kufungukia nafungukia wapi sasa.
Uoni unakiuka haki ya faragha?
Kule juu Nakara, National Park kule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikuwa unapita kwenda wapi wii[emoji15] [emoji15]
Nakara[emoji15] [emoji15]Kule juu Nakara, National Park kule
Nimwage mchele kwenye kuku wengi?haijakaa powaFunguka hapa jamvini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko ndo kwa miss chaga[emoji15]Aiseeee
Nina mwaliko hukooo December kwa miss chaga