NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
Huwa sihudhurii kwenye interview ila ya huyu mama aliyestaarabika nishabook tiketi mapema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkongweDu kumbe wengi sana wanamuelewa huyu mtu
Kila mtu ntafuatilia ntafuatilia
Haya sawa
HUYU BIBIE NTAFWATILIA INTERVIEW YAKE.
emmyta PIA NTAMFWATILIA HAWA MEMBER NI WASTAARABU SANA.
HUWEZ WAFANANISHA NA cocochanel
HahahahahahahaaaaaMkuu iyo kichomi ya lumumba ni sheeda.
Barafu wa moyo upo?Ngoja ni subscribe kabisa.
Ni ke mwenye ukeWe ni me!
muosha rungu
Pacha habari!Ngoja ni subscribe kabisa.
Barafu wa moyo upo?
[emoji3][emoji3]
hahahahahahaahahah ila weweesiku mkiminterview NAHUJA mtanishtua nitakuwa makini sana.
Hivi yule dada Super women 2 aliishia wapi? simuoni siku hizi!!!
Team Ubuyu B
Everything later 4:30!hashima yako dada mkubwa sky eclat.
unauelewa mkubwa sana wa historia ya jiji la dar es salaam na watu wake,hasa wale waliovuma miaka ya 80 na 90.
je?, wewe ni mmoja ya mama/dada uliyezaliwa mjini,kusomea mjini na kukulia mjini?.
unamtathimini vipi bmkubwa faiza foxy?.maoni yako please.
Yuko sahihi lakini hajachochea kituSwali la kichochezi.
Mi nipo..We ndo umekuwa adimu..Sijui nani kakuficha..We interview yako lini?[emoji7] [emoji7] nipo jamani..ulipotelea wapi? Sijakuona siku nyingi katika pita pita zangu