The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Naona anajaribu kukutisha..Labda anahisi kuna kitu unataka kumuomba
Hakuna lolote mkuu, roho mbaya tu. Vitisho vyote hivyo bado ananidai ubuyu. Mbaya zaidi anasema mimi ndio nimemfundisha roho mbaya.