Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Can't wait wallah[emoji5] [emoji5] [emoji5]Alhamis ijayo mpenz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can't wait wallah[emoji5] [emoji5] [emoji5]Alhamis ijayo mpenz
Mbege ya moshi je ipo??Sasaje ili tuoneshe ushirikiano
Nyagei yupo kazini[emoji5]
Sky Eclat ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, nilizaliwa hospital ya Ocean Road ambayo sikuhizi ni maalum kwa matibabu ya cancerNi furaha yangu kuwa nawe jioni ya Leo!
Tufahamishe Sky Eclat ni nan alizaliwa wapi Na muonekano wake!
muosha rungu
Angalia vizuri mkuu, sijasema Salama nimesema Salma... nikiwa na maana ya Ke (Salma jina la kike, limewakilisha jinsia Ke)Jinsia salama ndio mdudu gani?
Maswali tunauliza badae au sasa hivi mkuu??Ni furaha yangu kuwa nawe jioni ya Leo!
Tufahamishe Sky Eclat ni nan alizaliwa wapi Na muonekano wake!
muosha rungu
DOGO MWENYEWE [emoji35] [emoji35] [emoji35] .
KWAIYI KM NIMTIZAMO NDO UANZE NA LI?????
WEWE UKIITWA LIMBITIYAZA UTAJISIKIAJE ?????????????? acha zako bana.
Thanks baby, tulia tufatilie interview achana na wapuuzi wasiojielewaWelcome Baby
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jibapa ungeagiza jana bhana uteme yai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo chukua fursana ya baridi[emoji23][emoji23]
[emoji2]Hivi ww ni KE au??
Usimfanyie hivyo cuzoo wangu[emoji23] [emoji23]Ngoja amaliziee kupikaa make nikimruhusu now naona kupika itakuwaa saa 5 usikuu
...
Teh teh..Ngoja tufwatilie intavyuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue we siyo
Ingawa hujatupa muonekano!Sky Eclat ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, nilizaliwa hospital ya Ocean Road ambayo sikuhizi ni maalum kwa matibabu ya cancer
Kama avatar yangu imekuvutia njoo pm tuu..Angalia vizuri mkuu, sijasema Salama nimesema Salma... nikiwa na maana ya Ke (Salma jina la kike, limewakilisha jinsia Ke)
Mkuu hivi ww ni KE??Teh teh..Ngoja tufwatilie intavyuu
Nataka aje pm mimi ..Jose una heshima kubwa sana usikubali kuipoteza sababu ya upuuzi wa mjinga mmoja.
Mpotezee tu
Acha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??
Ngoja nikae kimya tu, nisije nikala BAN BURE
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Alhamis ijayo mpenz
[emoji3][emoji3][emoji3]
hapo umemaliza yote, afanye tu utekelezajiKama avatar yangu imekuvutia njoo pm tuu..
You get what you need..
Simple tuu.